Safari za Rais Samia nje ya nchi

Gharama kiasi gani? Je hizo gharama zina impact gani kwenye hili ongezeko la pato la Taifa?


Mfano Toka Magu aingie Madarakani hakuna mwaka ambao pato la Taifa limeongezeka zaidi ya 5B usd, ila miaka 3 tu ya mama ongezeko la zaidi ya 7B kila mwaka, je hizo Extra income compare na Gharama za usafiri ni worth it?
 
Akikaa nchini mwezi bila kusafiri inasaidia nini!?
 
Umezitoa wapi hizo takwimu zako?
 
Halafu nchi tajiri marais hawasafiri kabisa.. Mfano it is so bad for king of Japan kutoka nje ya japan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…