baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Gharama kiasi gani? Je hizo gharama zina impact gani kwenye hili ongezeko la pato la Taifa?Kwenda nje mara kwa mara siyo vizuri. Safari za rais ni gharama sana.
Kwa nchi maskini kama hii Tanzania yetu, siyo busara kutumia kodi za wananchi kwa safari zisizo na tija yoyote.
Rais anapaswa kuwa ndo mfano mzuri wa kubana matumizi.
Nchi ni maskini sana kwa Rais kuwa mzururaji wa dunia nzima.
Mfano Toka Magu aingie Madarakani hakuna mwaka ambao pato la Taifa limeongezeka zaidi ya 5B usd, ila miaka 3 tu ya mama ongezeko la zaidi ya 7B kila mwaka, je hizo Extra income compare na Gharama za usafiri ni worth it?