Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mkuu kwa kutumia ushahidi usioacha mashaka (siyo hearsay na speculations), tafadhali thibitisha:Hasa yale ya kuteka watu, kupiga marisasi, kufunga watu bila hatia, kuharibu uchaguzi na wizi wa Mali za umma.
• Alimteka nani?
• Alimpiga nani risasi?
• Alimfunga nani na au lini aligeuka kuwa hakimu?
• Aliharibu uchaguzi upi na lini amekuwa msimamizi wa uchaguzi?
• Mali zipi za umma alizozoiiba?