Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Makubwa yapi zaidi ya kuua demakrasia, na kuua ovyo wakosoaji wake na kufanya maamuzi ya ovyo yanayoligharimu taifa.
Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:
• Ameua demokrasia.
• Ameua wakosoaji wake.
• Amefanya maamuzi ya hovyo yaliyoligharimu taifa.

Note: Usilete hearsay au speculations. Uweke tangible evidence.
 
Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:
• Ameua demokrasia.
• Ameua wakosoaji wake.
• Amefanya maamuzi ya hovyo yaliyoligharimu taifa.

Note: Usilete hearsay au speculations. Uweke tangible evidence.
Kama huna macho wala masikio ya kusikia amin amini nakuambia ata akishuka malaika akishuka hutamuamini.
 
TULIENI MAMA AFANYA KAZI YAKE ILIYOTUKUKA....MAMA TUNAKUOMBEA SANA TUPE NEW FACES RCS NA DCS PAMOJA NA DEDS WAPIGAJI WATOKE UNA HAZINA KUBWA SANA YA WATU WALIOGOMBEA UBUNGE KWA MOYO MKUNJUFU CCM .....
SIO MAJINA ZOEFU TU AMABAO WAMETUANGUSHA ANGALIA CAG REPORTS...
 
View attachment 1749075

Habari za Kazi wana Jamii Forum.
Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa.


leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii ina lengo la kusaini makubaliano ya ujenzi wa bomba la mafuta.
Ni ziara yenye tija kwa uchumi wa Nchi.
Aidha ikumbukwe mtangulizi wake Hayati Dr John Pombe Magufuli hakuwa mpenzi wa ziara za nje ya nchi na mara nyingi alimtuma Mhe Samia Suluhu kumuwakilisha.

TUTAENDELEA KUTOA UPDATES YA ZIARA ZA NJE ZA MH RAIS SAMIA.
... sio kila safari utatangaziwa! Juzi si alikuwa Maputo na baadhi ya viongozi wa SADC kujadili issue ya ISIS Mozambique? Did you know this?
 
Kama huna macho wala masikio ya kusikia amin amini nakuambia ata akishuka malaika akishuka hutamuamini.
hizo ni escaperoutes za watu msiokuwa na hoja na mnaowafanyia wenzenu character assassination. He who alleges must prove. Umeshidwa ku-prove unachokisema.
 
hizo ni escaperoutes za watu msiokuwa na hoja na mnaowafanyia wenzenu character assassination. He who alleges must prove. Umeshidwa ku-prove unachokisema.
Mtaani watu wanaongea kwamba hvi haiwezekani tukaenda kufukua ile maiti then tuimwagie tindikali?? Watu kama hawa unaweza ukawajibu nini mkuu.
 
Wana bodi salaam.

2722009_Rais_Samia.jpg

Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuratibu safari za Mh Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameapa kuwa rais kwa mujibu wa katiba kufuatia kifo cha hayati dKT John Pombe Joseph Magufuri march 17.03.2021. Kwa mujibu wa katibu makamu wa Rais anashika madaraka ya urais na ndipo hapo march 19, 2021 aliapa kuwa Rais wa Sitta wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

SAFARI ZA KIMATAIFA

01. Tarehe 11,04.2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani, afanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Uganda alipokutana na mwenyeji wake Jenerali Kaguta Msevin katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kusafirisha mafuta ghafi toka Hoima Uganda hadi mkoani Tanga.

02. Tarehe 04.05.2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani, afanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Kenya. Pamoja na kuktana na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta, pia atahutubia mabunge yote ya Kenya. Ziara yake inatarajiwa kutatua msuguano wa kidiplomasia ambao umekuwepo kwa muda mrefu.

03. Tarehe 12.05.2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani, afanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Uganda kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais Kaguta Mseven ambaye ameapa kuwa rais kwa muhula wa sita mfululizo.

04. Tarehe 22.06.2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassani, ametua nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa dharura wa SADC.

Picha rasmi za Mh Rais
 
Ajihadhari na safari za china nina wasiwasi wale jamaa watafikia sehemu watununue asee
 
Back
Top Bottom