Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

Watanzania wana siri za mataifa mengi sana duniani. Ila hawana siri za kujua ni namna gani watazitumia rasilimali walizonazo kujikwamua kiuchumi na kupunguza utegemezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unaejua kusoma sana huo ushahidi wa vitabu semi trella kumi uliviandika wewe au nawe umekariri tu kwa kusoma kama sisi tusiosoma tunavyokariri kwa uvivu wa kusoma? Nyani haoni kundule kama lina kovu ila humcheka mwezie kuwa ana kiraka kalioni, kuchamba kwingi mwisho mtu hutoka mchafu chooni.
 
And worse for America and the World at Large...., Hizi shida zitakazomkabili Biden huenda Trump na wale wafuasi wake wabaguzi wakarudi with a vengeance...

Shida kubwa ya America its a Nation Divided; more problems will arise from within....

Na sasa hivi sijui watasema ni nani alichezea Uchaguzi wao...,
 
Hapa umenifumbua macho mkuu.
Asante sana.
 
Msaudi naona katangaza kuiuzia China mafuta kwa ¥uan badala ya $ na pia kagomea kabisa kupokea simu za Biden chanzo ikiwa US kufufua makibaliano ya nuclear na Iran & kushindwa kumuunga mkono kwenye vita yake isiyo na mwisho kule Yemen
Kumbe wakubwa nao huwa wanatosana hahahahaha
Nalog off
 
Umesimulia vizuri kuliko mke wa Maduro...
 
Sasa hapo kaingizwaje mkenge?Au matumizi ya lugha yamenipita mbali?
 
Aisee.. Noma sanaa

Niliiona hiyo ya Saudia kuwachunia ku pickup simu zao ila kuhusu venezuela sikujua kabisa..

No way itabidi akubali masharti ya venezuela tuu...
Ana akili za utata anaweza kuivamia Venezuela kupata mafuta kwa nguvu! Ulinzi uimarishwe huko.
 
Habari za kubumba tupu. Habari hazina kichwa wala miguu. Ulimwengu wa sasa taarifa yoyote isiyo na chanzo inabaki kuwa story za kijiweni
Mimi nimeikuta Youtube kwenye Source ya kuaminika na mashirika makubwa ya habari kama WON bila ya hivyo kwa namna mleta nada alivyoandika unaweza dhani CHAi .
 
Aisee.. Noma sanaa

Niliiona hiyo ya Saudia kuwachunia ku pickup simu zao ila kuhusu venezuela sikujua kabisa..

No way itabidi akubali masharti ya venezuela tuu...
Sasa akikubali sharti la pili si mafuta yatakuwa yanatoka Urusi kupitia Venezuela.
 
Saudi wamemkataa Mmarekani sasa wamemualika Rais wa China kuanza ushrikiano
Your browser is not able to display this video.
 
Marekani anasugua gaga
 
Anguko lao linakuja......
 
US hawezi kugusa Saudi Arabia maana pale Kuna miji mitakatifu, Islam wako siriazi na dini yao sio Kama sisi wakristo Mara Mwamposa na Nabii Shila,

Irani na Saudi kutokuelewana ni sawa na mgogoro wa familia tu.

Wajaribu waone hiyo vita itakua kati ya USA vs Waislam wote duniani hatar sana wasije tuletea vita ya kidini hawa. People wapo radhi wapigane wafe ule mji ubaki na wanalijua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…