Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Unadhani jamaa kabisa kabeba wanajeshi ananiwinda kisa mbunye tu yani

Huo muda ambao aninitafuta mimi si angeitumia kwa kukamata kobe wetu waliotoroshwa [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una dhambii, khaaah
 
Takataka
 
Mnajidanganya sana.
Rwanda sio nyepesi kijeshi kama mnavyoichukulia.
 
Huyo Jamaa yako wa kawaida sana


Mimi mchovu tu nishamcheki mahali.

Pupets wake walihamaki mno.

And i still exist.
 
Mnajidanganya sana.
Rwanda sio nyepesi kijeshi kama mnavyoichukulia.
Kwamba hicho "kiwilaya cha Rwanda" kina jeshi imara kama la Mrusi au ?!, haifai hata kuitwa taifa na hakuna jeshi hapo ni sungusungu.
 
Kwani kumetokea nini Jamani? Mbona watu wanazungumza kwa mafumbo mafumbo!!
 
Nephlims kama kawaida yao wanamtumia tu huyo dogo mchumia tumbo!!! wao wanaamini hawana Adui wa kudumu!! wala Rafiki wa Kudumu iko siku isiyo kuwa na tarehe watamsukia zengwe mpaka Ayambe kifukuto!!

Kama siyo kujamba!!! Mwanasiasa mkongwe ameshindwa kupima upepo wa Siasa za kimataifa??....hao! hao! wanao mtuma kuvuna Mazao ya DRC!! ndo watamgeuka na hata amini!!

ajiulize tu Mobutu katumika miaka Dahali Mobutu kawa mobutu kweli wa nkuku mbengu wazabanga lkn mwisho wake uliskitisha sana kama mjuavyo na hana Legacy nzuri ndani ya ZAIre yake!!

Savimbi wa ANgola katumika weee!! lkn kilicho mkuta mnajua humu wotee!!.......Shivangilai yuko wapi??..kale kajamaa ka somalia kalee kanani vile??...hata kaburi hkn anaye jua!

Jamani!! jamani mkubukege Saddam Husein yuko wapi?? alitumiwa kuipiga Iran...miaka dahari lkn yuko wapi??.....Daniel Otega/Nicaragua ndo kabisaa baada ya kumchoka wakamsukia zengwe!!

Mdogowe Loraa(Laurenty) Nkunda, Yuko wapiiiii!! (Kigali anakula Bata).... yule dogo alitumiwa vizuri sana, kuchuma madini ya DRC weee!! kuwafurahisha Nefilms!! jiulize Kagame alimkamata na kumfunga huyo Dogo kama Nani??

kwa nini hakumrudisha DRC aliko fanya maasi au kumkabidhi ICC kabisa ?? huyu bana na mwenzake Ortega wana hitoria ya kukamatwa km kuku wa mdondo! ....

sasa dogo kagame wee! mpe kichwa tu lkn wakimchoka tu!! yajayo yanafurahisha ni suala la Muda tu! hakuna Rangi wafuasi wake mtaacha kuiona!! ilimradi amekubali kutumika asubiri tu!

kusema kweli zake zina hesabika, Nefilims wooote kuwaweza wale, ni kuwa Mkuu yeyote kamwe usishiriane nao kwa lolote kuhusu maguvu ya kiuchumi wa kupora ukikubali tu huo mtego Ni umekwishaaababa!!,

kuna Rugumya wetu humu Africa wengi tu walikataaga huo mchezo km alivokuwa, Augustino Neto, Kaunda, Nyerere, kuna dogo mmoja Samora alishauliwa na Julius aache kujipendekeza kwenye Mkataba wa Nkomati, akabisha.

Yaliyo mkuta hakuna siye jua humu,......kuna huyu Ayatola Khamenei nk! waligoma katakata kujipendekeza kwao na kuwa nao kitu kimoja mpaka kesho hawakuwaelewa!!.....waliheshimika mnoo!

Kuwapenda hao Nephilim siku akikutana na ugumu wa kupinga wanachomtuma ujue hapo sasa ndo siku zake siku zataanza kuhesabika tuuu!! Kagame hana Jeuri ya kupambana na DRC looote lile hana!....ila

hao hao wapenda vita kama Baba yao shetani ndo wanampa bichwa! ili awajaribishie siraha zao za masafa! na kuendelea kuiba mali za DRC Kwa Damu ya mwana africa!...

lkn pia si mmeona Mungu kawatumia Moto mkali from no where else mwaka huu unawaka mfululizo so wameunguza hizo mali zao zenye Damu ya mwana frica vibaya sana mbaya! lkn hawakomiiiii!!

Ajili ya dhambi sugu za wazungu Iko siku si nyingi.....Ulaya yooote ile itafunikwa na kifusi cha volkeno!! hamta amini macho yenu, nawashauri mlio na ndugu zenu huko washaurini warudi Nyumbani Africa wapone!

ndo ukweli huo, tunzeni hili Bandiko langu mtaja nambia! kama siyo kunitafuta!..sikoseagi mie......
 
East Africa Community imeishaanza kupeleka askari, anaanza kupigika sasa hivi kama enzi zile za JK
 
East Africa Community imeishaanza kupeleka askari, anaanza kupigika sasa hivi kama enzi zile za JK
SI Uganda ( Museveni ) wala Kenya ( Kenyatta ) waliopeleka Askari Congo DR kumsaidia Rais wa Congo DR dhidi ya Waasi wa M23 hivyo sijui hapa unaiongelea Jumuiya ipi ya Afrika Mashariki.

Ninachojua tu ni kwamba kuna Taifa Moja Kubwa ila lenye Wapumbavu na Wendawazimu Wapumbavu wengi ( Nimeisahau ) kwa Kiherehere chao na Kushirikiana na Wanaofanana nao Burundi wameamua Kuisaidia Congo DR.
 
Mnavyomsaidia Rais wa Congo DR ( tena Kimedani ) pamoja na Kupenyeza Watu wenu wa Idara Kuisoma Rwanda Kijasusi ( Kinjagu ) mnadhani hatujui au hatupati Taarifa? Mnajiona Wajanja na mna Akili wakati ni Kinyume chake.
Maria-Rosaaaa maaama! ๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽผ
... ewe mwana wa Polo narakuwowaa! ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽค
.
.
.

... haka kasongi kalikuwa kanapendwa sana radio Rwanda ya Habyarimana!
 
Unakosea

Usingeandika!utawapa nafasi ya kujipanga tena KWA hicho ulichoandika!!

Sawa but not Good
 
MKUU

Kama pk ni smart hivyo alishindwaie na mkwere kumuweka mtu wake pale Burundi kipindi kile cha Neyombare alipotaka kupindua jk akagoma!!?

Vijana wa kigali walishindwaje kumpachika mtu wao Neyombare!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ