Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Unadhani jamaa kabisa kabeba wanajeshi ananiwinda kisa mbunye tu yani

Huo muda ambao aninitafuta mimi si angeitumia kwa kukamata kobe wetu waliotoroshwa [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una dhambii, khaaah
 
Mmeshachelewa kwani wapo ( tupo ) huko Kwenu ( tena maeneo very Strategic and Sensitive ) kabla na hata baada ya 1994 Rwanda Genocide.

Udhaifu wenu wa Akili unatusaidia Kujipenyeza Kiurahisi na kuyajua mengi na pia Kujipanga vyema jinsi ya Kujilinda nanyi na Kuwakabili kama mkilianzisha nasi.

Na Nawaonya msije mkathubutu kwani hamtoamini pamoja na Udogo wetu wa Kijiografia na msisahau kuwa Rwanda ndiyo Israel ya East Africa Community.

Nimemaliza.
Takataka
 
Mnajidanganya sana.
Rwanda sio nyepesi kijeshi kama mnavyoichukulia.
Huo muda tunautoa wapi sisi? Pale ukiwapa silaha wahutu kadhaa tu, kazi imeisha. Ka nchi hakana hata umoja unapigana nako ili iweje?
Kale tunawaachia Kigoma wapambane nako!

Na ndugu zangu Waha walivyo wabishi, ni siku mbili tu watakua kigali wanapiga selfie, wakati huku TZ tunaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa!
 
Huyo Jamaa yako wa kawaida sana


Mimi mchovu tu nishamcheki mahali.

Pupets wake walihamaki mno.

And i still exist.
 
Mnajidanganya sana.
Rwanda sio nyepesi kijeshi kama mnavyoichukulia.
Kwamba hicho "kiwilaya cha Rwanda" kina jeshi imara kama la Mrusi au ?!, haifai hata kuitwa taifa na hakuna jeshi hapo ni sungusungu.
 
Huo muda tunautoa wapi sisi? Pale ukiwapa silaha wahutu kadhaa tu, kazi imeisha. Ka nchi hakana hata umoja unapigana nako ili iweje?
Kale tunawaachia Kigoma wapambane nako!

Na ndugu zangu Waha walivyo wabishi, ni siku mbili tu watakua kigali wanapiga selfie, wakati huku TZ tunaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa!
Kwani kumetokea nini Jamani? Mbona watu wanazungumza kwa mafumbo mafumbo!!
 
Nephlims kama kawaida yao wanamtumia tu huyo dogo mchumia tumbo!!! wao wanaamini hawana Adui wa kudumu!! wala Rafiki wa Kudumu iko siku isiyo kuwa na tarehe watamsukia zengwe mpaka Ayambe kifukuto!!

Kama siyo kujamba!!! Mwanasiasa mkongwe ameshindwa kupima upepo wa Siasa za kimataifa??....hao! hao! wanao mtuma kuvuna Mazao ya DRC!! ndo watamgeuka na hata amini!!

ajiulize tu Mobutu katumika miaka Dahali Mobutu kawa mobutu kweli wa nkuku mbengu wazabanga lkn mwisho wake uliskitisha sana kama mjuavyo na hana Legacy nzuri ndani ya ZAIre yake!!

Savimbi wa ANgola katumika weee!! lkn kilicho mkuta mnajua humu wotee!!.......Shivangilai yuko wapi??..kale kajamaa ka somalia kalee kanani vile??...hata kaburi hkn anaye jua!

Jamani!! jamani mkubukege Saddam Husein yuko wapi?? alitumiwa kuipiga Iran...miaka dahari lkn yuko wapi??.....Daniel Otega/Nicaragua ndo kabisaa baada ya kumchoka wakamsukia zengwe!!

Mdogowe Loraa(Laurenty) Nkunda, Yuko wapiiiii!! (Kigali anakula Bata).... yule dogo alitumiwa vizuri sana, kuchuma madini ya DRC weee!! kuwafurahisha Nefilms!! jiulize Kagame alimkamata na kumfunga huyo Dogo kama Nani??

kwa nini hakumrudisha DRC aliko fanya maasi au kumkabidhi ICC kabisa ?? huyu bana na mwenzake Ortega wana hitoria ya kukamatwa km kuku wa mdondo! ....

sasa dogo kagame wee! mpe kichwa tu lkn wakimchoka tu!! yajayo yanafurahisha ni suala la Muda tu! hakuna Rangi wafuasi wake mtaacha kuiona!! ilimradi amekubali kutumika asubiri tu!

kusema kweli zake zina hesabika, Nefilims wooote kuwaweza wale, ni kuwa Mkuu yeyote kamwe usishiriane nao kwa lolote kuhusu maguvu ya kiuchumi wa kupora ukikubali tu huo mtego Ni umekwishaaababa!!,

kuna Rugumya wetu humu Africa wengi tu walikataaga huo mchezo km alivokuwa, Augustino Neto, Kaunda, Nyerere, kuna dogo mmoja Samora alishauliwa na Julius aache kujipendekeza kwenye Mkataba wa Nkomati, akabisha.

Yaliyo mkuta hakuna siye jua humu,......kuna huyu Ayatola Khamenei nk! waligoma katakata kujipendekeza kwao na kuwa nao kitu kimoja mpaka kesho hawakuwaelewa!!.....waliheshimika mnoo!

Kuwapenda hao Nephilim siku akikutana na ugumu wa kupinga wanachomtuma ujue hapo sasa ndo siku zake siku zataanza kuhesabika tuuu!! Kagame hana Jeuri ya kupambana na DRC looote lile hana!....ila

hao hao wapenda vita kama Baba yao shetani ndo wanampa bichwa! ili awajaribishie siraha zao za masafa! na kuendelea kuiba mali za DRC Kwa Damu ya mwana africa!...

lkn pia si mmeona Mungu kawatumia Moto mkali from no where else mwaka huu unawaka mfululizo so wameunguza hizo mali zao zenye Damu ya mwana frica vibaya sana mbaya! lkn hawakomiiiii!!

Ajili ya dhambi sugu za wazungu Iko siku si nyingi.....Ulaya yooote ile itafunikwa na kifusi cha volkeno!! hamta amini macho yenu, nawashauri mlio na ndugu zenu huko washaurini warudi Nyumbani Africa wapone!

ndo ukweli huo, tunzeni hili Bandiko langu mtaja nambia! kama siyo kunitafuta!..sikoseagi mie......
 
East Africa Community imeishaanza kupeleka askari, anaanza kupigika sasa hivi kama enzi zile za JK
 
East Africa Community imeishaanza kupeleka askari, anaanza kupigika sasa hivi kama enzi zile za JK
SI Uganda ( Museveni ) wala Kenya ( Kenyatta ) waliopeleka Askari Congo DR kumsaidia Rais wa Congo DR dhidi ya Waasi wa M23 hivyo sijui hapa unaiongelea Jumuiya ipi ya Afrika Mashariki.

Ninachojua tu ni kwamba kuna Taifa Moja Kubwa ila lenye Wapumbavu na Wendawazimu Wapumbavu wengi ( Nimeisahau ) kwa Kiherehere chao na Kushirikiana na Wanaofanana nao Burundi wameamua Kuisaidia Congo DR.
 
Mnavyomsaidia Rais wa Congo DR ( tena Kimedani ) pamoja na Kupenyeza Watu wenu wa Idara Kuisoma Rwanda Kijasusi ( Kinjagu ) mnadhani hatujui au hatupati Taarifa? Mnajiona Wajanja na mna Akili wakati ni Kinyume chake.
Maria-Rosaaaa maaama! 🎤🎼🎼
... ewe mwana wa Polo narakuwowaa! 🎼🎼🎼🎤
.
.
.

... haka kasongi kalikuwa kanapendwa sana radio Rwanda ya Habyarimana!
 
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.

Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una Mtambo wa Mawasiliano hata wa kujua Van Dame na Rambo wao anafanya nini au yule Mwingine Mstaafu anakunywa Saa ngapi Dawa zake za Tezi Dume.

Yaani wamesahau kuwa hata huko Kwao (tena hadi Jikoni Kwao kabisa) una Watu wako very Loyal, Patriotic and Committed ambao 24/7 wanakupa Classified Information ya nini Wanachokilenga Kwako.

Ndiyo maana nakupenda sana Rais wangu Paul Kagame. Haya wahangaike sasa na Premier uliyemtuma Kukuwakilisha huku ukiendelea kumpelekea tu Moto huyo Mkata Viuno Afrika hadi 75% ya nchi yake na Rasilimali zake ziwe part and parcel za Republic of Rwanda.
Unakosea

Usingeandika!utawapa nafasi ya kujipanga tena KWA hicho ulichoandika!!

Sawa but not Good
 
Naunga mkono kwa asimilia 101, Kagame ni namba ingine.

Ni pale alipotonywa kwamba atulie kwanza mpaka vumbi lituame ndipo atume salamu za pole, na kwamba nyuma ya lile tukio kulikuwa na tukio jingine "on standby" ndipo nilipoamini kuwa vijana wa Kigali ni kweli wapo hadi ndani kabisa huko kwenye makabati ya jikoni.

Hii ya kwamba vijana wa Kigali tunao hadi makabatini naiamini kabisa kwasababu kuna jamaa zangu wengi tu nilisoma nao ndanindani huko miaka hiyoooo na leo hii ni maofisa wakubwa wa ngazi za juu huko Kigali na wanalonga kiswahili chenye ufasaha.

NIlipogundua hii nilijiuliza masuali mengi lakini nikapata majibu hapohapo.

NIliwahi kusema huko nyuma kuwa PK na Mzee Kaguta ni watoto kabisa wa hayati mwalimu (kikazi) na tusiwachukulie poa.

Na hadi leo wanafahamu kila kitu kuhusu matukio yote nyeti yalokwishatokea.

Naomba niishie hapa.
MKUU

Kama pk ni smart hivyo alishindwaie na mkwere kumuweka mtu wake pale Burundi kipindi kile cha Neyombare alipotaka kupindua jk akagoma!!?

Vijana wa kigali walishindwaje kumpachika mtu wao Neyombare!!?
 
Back
Top Bottom