Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Aisee hii ni easiest way[emoji2]

Unawapa silaha wale FDLR na wahutu kadhaa mule ndani.

Unakaa pembeni unakula popcorn
Yani hapo ukiwapa silaha FDLR, inabaki kazi ya kuokota maiti tu. Kama kipindi kile waliwafyeka hao pua ndefu kwa mapanga, assume wakiwa na advanced military equipment kitatokea nini.

Mimi nawaangalia tu hawa mafala wanavyoongea kwa kujifurahisha. Ila maboss wao wanajua Tanzania sio ya kuzinguana nayo.

Sisi wakija wageni wala hatunaga noma, ila wakianza kuleta ujinga ndio huwa tunawashangaza. Wanyarwanda na Warundi wapo kibao, hata wamalawi. Sisi hatuna noma kukaa nao. Sisi ni wakarimu, chi yetu ni kubwa, na imebarikiwa hatuna njaa. Ila wakijichanganya ndio watajua hawajui.

Unadhani JK alikua hajui kama kuna watutsi na mifugo yao kule maporini? Alikua anajua vizuri, ila kwa ukarimu wetu akaamua kuwapa free ride. Sasa kupewa lifti, wakaanza chokochoko wanataka wapige mpaka na honi. The rest is history!
 
ndio maana iliuana in numbers of millions. Ardhi iliyolaaniwa isiyo hata na punje ya madini nchi ambayo raia wake ni wakimbizi .

Wanastahil ,kusifiwa ,kupongezwa , kutoka kuuana hadi kujenga umoja wa kitaifa nakujenga Nchi Yao.

Wengi walio pitia njia kama yakwao wamezama kwenye kina kirefu Cha matatizo, lakini wao wanachanja mbuga.

Punguza hasira Kuna Cha kujifunza kwao.
 
Yani hapo ukiwapa silaha FDLR, inabaki kazi ya kuokota maiti tu. Kama kipindi kile waliwafyeka hao pua ndefu kwa mapanga, assume wakiwa na advanced military equipment kitatokea nini.

Mimi nawaangalia tu hawa mafala wanavyoongea kwa kujifurahisha. Ila maboss wao wanajua Tanzania sio ya kuzinguana nayo.

Sisi wakija wageni wala hatunaga noma, ila wakianza kuleta ujinga ndio huwa tunawashangaza. Wanyarwanda na Warundi wapo kibao, hata wamalawi. Sisi hatuna noma kukaa nao. Sisi ni wakarimu, chi yetu ni kubwa, na imebarikiwa hatuna njaa. Ila wakijichanganya ndio watajua hawajui.

Unadhani JK alikua hajui kama kuna watutsi na mifugo yao kule maporini? Alikua anajua vizuri, ila kwa ukarimu wetu akaamua kuwapa free ride. Sasa kupewa lifti, wakaanza chokochoko wanataka wapige mpaka na honi. The rest is history!
Bro najua wewe ni mzalendo haswa lakini usichokijua ni kuwa intelligence yetu ni mbovu mno

Huwezi amini kuna dogo ni TISS muda huu ninavyoandika hapa yupo ananisaka na kampani ya wanajeshi 4 kisa tu Nimempokonya demu [emoji23][emoji23] demu mwenyewe hamtaki msela
 
Hapo uliposema tu kuwa kwa sasa Intelligence yetu ni mbovu ndiyo nimepapenda zaidi na kuamini kuwa Wewe nawe ni 'Genius' pia ambao nawapenda na kwa bahati mbaya tu ni kwamba hapa JamiiForums mpo Wachache sana.
 
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.

Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una Mtambo wa Mawasiliano hata wa kujua Van Dame na Rambo wao anafanya nini au yule Mwingine Mstaafu anakunywa Saa ngapi Dawa zake za Tezi Dume.

Yaani wamesahau kuwa hata huko Kwao (tena hadi Jikoni Kwao kabisa) una Watu wako very Loyal, Patriotic and Committed ambao 24/7 wanakupa Classified Information ya nini Wanachokilenga Kwako.

Ndiyo maana nakupenda sana Rais wangu Paul Kagame. Haya wahangaike sasa na Premier uliyemtuma Kukuwakilisha huku ukiendelea kumpelekea tu Moto huyo Mkata Viuno Afrika hadi 75% ya nchi yake na Rasilimali zake ziwe part and parcel za Republic of Rwanda.
Unavyomsifia huyo fala unatafkiri kakuolea dada ako
 
Mmeshachelewa kwani wapo ( tupo ) huko Kwenu ( tena maeneo very Strategic and Sensitive ) kabla na hata baada ya 1994 Rwanda Genocide.

Udhaifu wenu wa Akili unatusaidia Kujipenyeza Kiurahisi na kuyajua mengi na pia Kujipanga vyema jinsi ya Kujilinda nanyi na Kuwakabili kama mkilianzisha nasi.

Na Nawaonya msije mkathubutu kwani hamtoamini pamoja na Udogo wetu wa Kijiografia na msisahau kuwa Rwanda ndiyo Israel ya East Africa Community.

Nimemaliza.
Unashupaza sana shingo kwa kitu ambacho hata mtoto mdogo anajua kua una mawazo ya mihemko ya kitoto sana, unaleta story za kufikirika au ndoto za alinacha,. nnakushauri usije ukaombea conflict na Nchi yoyote ya East Africa nakuhakikishia Rwanda itanyakuliwa yote na kugeuzwa Wilaya na tutaleta mkuu wa Wilaya ya Rwanda.
 
Rubbish.
 
Huwa napenda mno kukutana na Intelligent JF Member kama Wewe hivi Mkuu, ila bahati mbaya ni kwamba Mipumbavu ndiyo imejazana na haitaki Kuelimishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila charismatic fella. Unanivunja mbavu mno.
 
Bro najua wewe ni mzalendo haswa lakini usichokijua ni kuwa intelligence yetu ni mbovu mno

Huwezi amini kuna dogo ni TISS muda huu ninavyoandika hapa yupo ananisaka na kampani ya wanajeshi 4 kisa tu Nimempokonya demu [emoji23][emoji23] demu mwenyewe hamtaki msela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chizi uwiiiih.
 
Na ninawatieni Ndimu ( Nawapanikisha ili Mkasirike ) kwa Makusudi ili mkasirike na muanze Kujitapa kwa kusema Intelligence and Defence Strong Points zenu ili mnirahisishie Jukumu Kuu nililokabidhiwa na Kuaminiwa nalo la Taifa la Rwanda.
Wewe kiazi to the maximum hauna ubongo wa kumpanikisha yeyote aliyetimamu
 
Na ninawatieni Ndimu ( Nawapanikisha ili Mkasirike ) kwa Makusudi ili mkasirike na muanze Kujitapa kwa kusema Intelligence and Defence Strong Points zenu ili mnirahisishie Jukumu Kuu nililokabidhiwa na Kuaminiwa nalo la Taifa la Rwanda.
Umezidi kujipendekeza kwa mtu ambaye hata hajui kama kuna ngedere anayejipendekeza kwake,jiendee tu Kimboka au sewa utapata tu wateja wa saizi yako.
 
Back
Top Bottom