GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Acheni kelele leteni Dola za Kimarekani Bilioni Moja mumchukue sawa?Muachieni kibu aende anapopapenda kwanini mnamng'ang'ania? Mchezaji yupo huru kuamua wapi acheze na wapi asicheze. Kama mlivyomchangia fei pesa za kwenda fifa na kibu tumchangie pia
Naunga mkono Hoja yako. Huyu Mpuuzi Kibu Denis anatakiwa Akomolewe zaidi ya hapa na ikibidi hata Kurogwa Arogwe.Simba hela ipo apigwe benchi hizo milioni 400 zake za mkataba ndo azile mdo mdo...
We unaona kwa akili zako chache ( maana huna akili) pale yanga yule bob marley anamuweka nani benchi?Acheni kelele leteni Dola za Kimarekani Bilioni Moja mumchukue sawa?
Acha kunipotezea muda nimesema Dola za Kimarekani Bilioni Moja hivyo wapishe walionilewa na kuchangia waendelee.Point of correction
Ni 1,000,000 $ na sio 1 Billion
Na wanavyo ushabikia huo umbumbumbu wao sasa kwa hoja na mada za ki mbumbumbuRage alisema wengi wenu ni mbumbuu😂
Wewe hizo Akili zako za Kupiga Mluzi / Kubinua Mchanga ndiyo unaona ni Akili za Kujivunia?We unaona kwa akili zako chache ( maana huna akili) pale yanga yule bob marley anamuweka nani benchi?
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( iko YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Mbwa, Sokwe na Nyani. Je, una Maoni gani na hii Kauli? Nasubiria mrejesho wako.Na wanavyo ushabikia huo umbumbumbu wao sasa kwa hoja na mada za ki mbumbumbu
Hahahahaha kwakua wote Simba na Yanga ni watanzania atakua yuko sahihi tuAliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( iko YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Mbwa, Sokwe na Nyani. Je, una Maoni gani na hii Kauli? Nasubiria mrejesho wako.
Unategemea kabisa huyo Juha ( Fool ) na Wenzake kadhaa hapa Wakuelewe kabisa kweli Mkuu?Wanaweza kuwa wanakosea kufanya hivo kwa namna ya kumlipa pesa pasi na namna ya kumtumia. Ila katika kitengeneza mazingira ya uwepo wa nidhani ndaani ya timu inawezakuwa njia nzuri.
Timu nyingi hutumia mfumo huu kuwaadhibu wachezaji wake. Kama ni mfuatiliaji mzuri utakumbuka Manchester United dhidi ya Sancho na hata CR7. Unakalishwa benchi mpaka unaomba kuondoka mwenyewe.
Nyie si mnasema hamkomoagi wachezaji na kipindi kile cha Fei mlituambia mchezaji kama hana furaha aachwe, kumbe na nyie mnakomoa wachezaji.Hivi unajua kuwa Kisaikolojia Mchezaji kukaa Benchi ni Mateso makubwa na anaathirika sana? Ulivyo Juha unashangaa Mchezaji kuwekwa Benchi kwa Makusudi kama Kumkomoa na ukisema kuwa anakula Mshahara wa bure na hapo hapo hujui kuwa hata Kipa wako Msaliti, Duka na Aliyetuumiza katika zile 5 kwa 1 Aishi Manula nae anapitia Adhabu hii hii ya Kisaikolojia japo Mshahara wake anapewa kama kawaida.
Mtafute sasa kisha muangalie hata akiwa anaongea utagundua kuwa Aishi Manula hayuko sawa tena Kisaikolojia na akihojiwa anazuga kuwa bado yuko Majeruhi wakati ukweli ni kwamba Kapigwa Pini ya maana Kumkomoa.
Kudadadeki......Ubaya Ubwela.
Aliwasema Simba SC ambao hata hajawahi Kuwafundisha au alikuwa anawasema nyie Yanga SC aliyowafundisha?Hahahahaha kwakua wote Simba na Yanga ni watanzania atakua yuko sahihi tu
Ndiyo tutamkomoa na mbona atakoma.....!! Ubaya Ubwela Kudadadeki zake.Nyie si mnasema hamkomoagi wachezaji na kipindi kile cha Fei mlituambia mchezaji kama hana furaha aachwe, kumbe na nyie mnakomoa wachezaji.
🐕Aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Mbwa, Sokwe na Nyani.
Kwako Wewe huyo Juha ndiyo ana Akili? au nawe pia ni Juha Mwenzake?Sikutegemea ndani ya simba yangu kuna watu wenye akili smart za kuwaza kwa kina kama huyu mdau. Nakuahidi hutajibiwa na jibu smart zaidi ya kejeli, heshima kwako Rage
Unajua 1 $ Billion is almost 2.7 Trillion....Acha kunipotezea muda nimesema Dola za Kimarekani Bilioni Moja hivyo wapishe walionilewa na kuchangia waendelee.
Hahahahaha suala u umbwa hata mm naona ni watanzania wote tu,we tulia soma post zako /zenu vzr utaona ujibwa wenu ulipoAliwasema Simba SC ambao hata hajawahi Kuwafundisha au alikuwa anawasema nyie Yanga SC aliyowafundisha?
Kamuelimishe Msemaji wa Simba SC Ahme Ally aliyesema hivyo na Nimemnukuu. Acha Kuwashwawasha nami sawa?Unajua 1 $ Billion is almost 2.7 Trillion....
jaribu kutulia utaelewa ulichoandika
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wot ni Mbwa, Sokwe na Nyani. Je, unaweza kusema labda ni wapi Watu wa Simba SC alituita Mbwa, Nyani na Sokwe? Naanza Kukudharau....!!Hahahahaha suala u umbwa hata mm naona ni watanzania wote tu,we tulia soma post zako /zenu vzr utaona ujibwa wenu ulipo