Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

Unajua kosa alilolifanya kibu?
Kwani mchezaji akitaka kununuliwa utaratibu ukoje?nimeamini manara alisema kweli.
 
Kwa hiyo Kibu Denis anarejea Simba kuja kucheza au kukaa benchi huku akila mshahara wa bure?

Aliyetuloga wanasimba huenda naye kalogwa.
Hujui hiyo adhabu ni mbaya sana, mchezaji kukaa nje muda mrefu kunamuharibu kisaikolojia na match fitness anapoteza, hii itasababisha kushusha kiwango chake na mwishowe thamani yake sokoni itashuka pia, usijekushangaa hao waliomdanganya sasa hivi wakamkimbia baadae.
 
Mwamba genta kweli hii?
 
mkataba wa kibu hauna kifungu cha kumuuza kwa kima hicho,ni janja janja tu
 
Hee!!..kumbe ni ufala ubwela
 
Kibu hana thamani hiyo..!! Yaani msimu mzima ana goli moja halafu uje useme anauzwa kwa hela hizo, AKILI HANA HUYO MSEMAJI WENU..!!!
 
Unajua kosa alilolifanya kibu?
Kwani mchezaji akitaka kununuliwa utaratibu ukoje?nimeamini manara alisema kweli.
Mbona umekurupuka kama lilivyo jina lako? Hii koment imemlenga mleta post.

Ndio umuulize mwenzio, maana mwanzo kwenye swala la Fei alituambia mchezaji kama hana furaha aachwe hamna haja kumng'ang'ania na kumkomoa na akajisifu 5imba hawawakomoi wachezaji wala kuwang'ang'ania. So muacheni Kibu na Manula waondoke.
 
Sasa kama KIBU HANA furaha si aondoke.NANI KAMZUIA?
 
Uyu Kibu D inatakiwa kama akitambulishwa kwenye tamasha la Simba Day, abigwe Boooooooooooo za kutosha, ili akili imkae sawa na wachezaji wkte waone na kutambua kua mashabiki wa sasa akili wanazo
 
Eti dola bilioni moja, kibu iyo thamani kaitoa wapi aliyefunga goli moja kwa msimu mzima? Yaani yanga wamuwazie kumchukua kibu ata ukitumia akili ya kawaida! Mnajazwa na mnajaa kirahisi kabisa
 
Unategemea Juha kama huyo aelewe Kweli?
 
Mbona laana kama zote,mwombeeni baraka nanyi mbarikiwe.Mkimlaani nanyi mtalaaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…