Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

Mwamba genta kweli hii?
Najua Ahmed Ally kaisema kwa kuweka na Utani ndani yake ila Dau halisi la Kibu Denis kwa Timu yoyote Kumnunua ni Dola za Kimarekani Milioni Moja.

Hiyo ya Bilioni kaongezea tu Chumvi ya Kiutani ndani yake na ndiyo maana na Mimi naikomalia hiyo hiyo ya Dola za Kimarekani Bilioni Moja ili tu Kuwakoga na Kuwakera wana Yanga SC Watani zangu hapa wakiongozwa na Rafiki yangu Bila bila
 
Si mpaka samia kaingilia kati ushasahau?
Samia kuingilia maamuzi ya chombo caha FIFA ndio unaona Fei yupo sahihi? Vp na hili la Kibu na Manula Samia akiingilia kati,utaona sawa.

Yaani sheria za mpira na maamuzi ya chombo kinacho tambulika na FIFA, mwanasiasa kuingilia unaona sawa. Shukuruni tu FIFA hawa kulisikia swala la Fei,maana tungepigwa ban na kuishia humu .
 
samia aingilie kati suala la kibu kwani kuna mtu kamkataza kibu kuondoka?
 
milango ipo wazi KIBU AONDOKE.si hayupo kwenye timu?aendelee kukaa huko huko alipo.alafu tuone atacheza timu gani.
 
Mk
uu haya majuha sasa wewe fikiria kununua ticket hayawajibiki mpaka supu za Bure ndipo yanajaa.Si ni mapoyoyo tu
 
Muachieni kibu aende anapopapenda kwanini mnamng'ang'ania? Mchezaji yupo huru kuamua wapi acheze na wapi asicheze. Kama mlivyomchangia fei pesa za kwenda fifa na kibu tumchangie pia
Wewe nae ni kei tu kwani alishikiwa bunduki kusaini maktaba mpya.Hivi kumbe wajinga mpo wengi
 
Kwani Fei kuna mtu alimkataza kuondoka...... sasa kipi kilikuwa kinamzuia?
Kumbe wewe ni mgumu kuelewa.wakati fei anataka kuondoka alikuwa na mkataba na yanga au hana?
Alipotaka kuvunja mkataba aliambiwaje na viongozi wa yanga?
 
Kwani Kibu ameambiwaje?
hakuna alichoambiwa.zaidi anatakiwa arudi kambini.kwani timu gani inayomtaka kibu?
Kumbuka kibu ameingia mkataba na simba miaka 2.
nilisema kibu LAZMA ATARUDI SIMBA kama sio kucheza basi atarudi kuomba KUONDOKA.alikuwa anajitekenya mwenyewe tu.dunia ya sasa hauwezi kuhama timu kienyeji.
 
Huyu aliye andika huu uzi,lisema 5imba wamemwambia aweke USD 1m au ww hujasikia? Ndio maana nilikuambia hii koment hazi kuhusu ww na ndio maana huzihelewi.

Kienyeji vipi tulikubaliana humu na huyu mleta uzi mchezaji akijisikia hana furaha, anajipangia dau atakalo na kuwawekea timu inayo mmiliki na kuondoka?

Au kienyejeji hiyo unayo izungumzia ww ni ipi? Maana tumeona kwa kwa Fei,ikaja Dube na nyie mkatoa boko kwa Lawi mmeingiza pesa kwa mchezaji bila kuishirikisha Coast, leo Lawi yupo Ubeliji.
 
Mwenye hela AKAE MEZANI.furaha atapewa na mkewe sio simba.kashindwa abaki nyumbani kwake milele asirudi simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…