Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Jamii forum kuna sehemu unaweza kutambua kabila la mtu chief????
Mbona comment yako imejaa sana chuki na ukabila????
Hujui kuwa Arusha kuna wasukuma, wahaya na wanyamwezi kibao tu
Lazima ujue kutofautisha kati ya kabila na mji na kama hujui Arusha wakazi wa asili ni wameru na wamasai na wala sio wachagga boss....punguza makasiriko mkuu hii nchi ni ya kwetu sote♥️💜
Umekwenda mbali sana mkuu, kwetu ni Ngara sio usukumani ingawa njia ni ile ile moja. Nimeisifu Arusha kwa uzuri wake na sio kwa masuala ya CHADEMA wala CUF wala CCM.
Ni mji mzuri, wenye utulivu fulani usioweza kuupata katika mkoa mwingine wowote ule wa Tanzania hii.
Kahama ni wilaya katika mkoa wa ShinyangaUlivyo nut unataka kunifundisha mm kuwa Kahama ni Shinyanga. Upo serious kweli wewe? Au utoto unakusumbua?
Kwa akili yako unaona mimi sijui kama Kahama ni Shinyanga? Bure kabisa weweKahama ni wilaya katika mkoa wa Shinyanga
Usisahau na mabilionea wapo wengi chuga😃Bila kusahau sifa ya majambazi hatari yametokea huko!
Alafu mabilionea wasiotaka show off sasa😂Usisahau na mabilionea wapo wengi chuga😃
Kahama ni wilaya katika mkoa wa Shinyanga
Usisahau na mabilionea wapo wengi chuga😃
Utajiri huupati kwa kutembea chief unaangalia vitu wanavyomiliki...ndio utaje mamilionea wangapi mwanza na shinyanga wanaomiliki angalau jengo la ghorofa 10 wako wangapi huko??????? Na hapo umeongelea madini tu umesahau kabisa utaliiHujatembea mwanza, geita na Shinyanga wewe. Kuna matajiri wa dhahabu, diamonds na viwanda vya maji, juise soda n.k. na ndiyo madini yenye pesa kubwa kuliko tanzanite yenu.
Utajiri huupati kwa kutembea chief unaangalia vitu wanavyomiliki...ndio utaje mamilionea wangapi mwanza na shinyanga wanaomiliki angalau jengo la ghorofa 10 wako wangapi huko??????? Na hapo umeongelea madini tu umesahau kabisa utalii
Usiwe muoga kama kuku Arusha ni salama sanaBila kusahau sifa ya majambazi hatari yametokea huko!
Karibu ufurahieArusha. Toka siku ya Kwanza naingia Arusha nilitokea kupapenda sana. Mwakani nataka nipambane nifanye jambo kule.
Ulifikia Ngaramtoni au Kisongo?Ni kweli Arusha ni pazuri ila mimi kusema kweli palinikataa lile vumbi na baridi la pale! Hapana Dar ndo naona nikikaa nakaa vizuri!
Kwani ukikaa hapa unakuharibia nini mkuuMods huu uzi haustahili kuwa kwenye Jukwaa la Siasa. Pengine Jukwaa la habari na hoja mchanganyiko ingekuwa pahala pake.
Ulifika Arusha lini mzee wangu?Acheni kutafuta sifa. Jengeni barabara. Barabara za mitaa Arusha yote ni mbovu, za vumbi na matope hazipitiki wakati wa mvua. Kuna maeneo watu wameamua kutengeneza wenyewe barabara sababu ya ubinafsi wa viongozi wa jiji. Haieleweki ofisini hao wanaojiita maofisa wanafanya nini
Utakuwa uko nyuma sana mkuu.Mimi nimefika Arusha ila sioni maajabu. Zaidi ya serikali kulazimisha kuufanya mji wa utalii na makao makuu ya EAC hakuna kingine kipya.
Soon inapitwa hata na Dodoma.
Nielekezeni basi niende wapi ila nijue kweli Arusha ni hatari.
Ona ulivyokuwa kilaza eti Kilimanjaro na Arusha toa ukabila wapo sugua meno kwanza hayoUtakuwa uko nyuma sana mkuu.
Dodoma kamwe hapawezi kuwa mahali bora kuishi kushinda Arusha na Kilimanjaro.
Ubora wa mahali sio majengo pekee...tunaangalia hali yabhewa, mandhari yake yaani utunzaji wa mazingira na ustaarabu wa watu.
Labda Dodoma iwe mbele kwa omba omba mtaani hapo sawa.
We qummer mimi sio mzaliwa wa huko peleka ushuzi chooni hukoOna ulivyokuwa kilaza eti Kilimanjaro na Arusha toa ukabila wapo sugua meno kwanza hayo
Utakuwa mgogo wewe mwenye tongotongo na kutembeza bakuliOna ulivyokuwa kilaza eti Kilimanjaro na Arusha toa ukabila wapo sugua meno kwanza hayo
**** mama ako usilete ushamba mbw weweWe qummer mimi sio mzaliwa wa huko peleka ushuzi chooni huko