Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Jamii forum kuna sehemu unaweza kutambua kabila la mtu chief????
Mbona comment yako imejaa sana chuki na ukabila????
Hujui kuwa Arusha kuna wasukuma, wahaya na wanyamwezi kibao tu
Lazima ujue kutofautisha kati ya kabila na mji na kama hujui Arusha wakazi wa asili ni wameru na wamasai na wala sio wachagga boss....punguza makasiriko mkuu hii nchi ni ya kwetu sote♥️💜
Ungesubiri anijibu mwenyewe chief,,,,,tambua pia sina chuki, narudia tena cna chuki na mtu.