Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?


Hapo tayari umeshajijibu na kujifu kwa maana wewe ni wahukohuko.

Arusha level yake mbeya, mikoa hii unaweza ukailinganisha ipi bora.

1 Dar
2 Mwanza
3 Mbeya, Dom, Arusha na Tanga
 
Hiyo no part tuu ya Dom,,Dom iko mbele kwa Miji mingi hapa Tzn in terms of barabara,town planning,growth rates na Sasa viwanda na mahotel ya nyota tano..

Dom ni construction site kama Dar kwa sasa kwa hiyo kuwa mpole.

Kwa vitu vingi ilhali hadi hoteli wajengewe na serikali 🤣

Hebu nitumie picha ya juu ya dodoma kama hio

Dodoma ni mji wa kiserikali mkuu lazima upangwe na ndio maana serikali wanajiwekeza sana

Ila when it comes to private investments haiwezi nusa hata pua kwa Arusha

Alafu kama mama anawakacha kiaina huo mji wenu wa mchongo 🤣🤣
 
Yani watu wangejua Dar es salaam ina watu wengi kuliko los Angeles sijui wangesemaje

Watu hapa wanachanganya ukubwa na uzuri

View attachment 2039101
Sijui kwa nini hii taarifa ya Millard naiona ni ya uongo kabisa Mwanza haiwezi kuwepo kwenye mikoa maskini ila Kilimanjaro ndio inapaswa kuwekwa kwenye Mikoa maskini zaidi Tanzania.
 
Akilli zako ndio zimeshia hapo?
Kuwa analytical kanda ya ziwa in one third population.
Na hujui hata hiyo kansa wanaugua watu gani wazee, watoto, vijana au kinamama.
Usiwe kasuku.
Mji hadi katikati kuna nyumba za tembe
We bwana wewe jua Mwanza kama part ya Kanda ya Ziwa kuna kansa sasa kama hutaki basi tufanye Mwanza ni part ya Dar ila Hali halisi ni hii hapa 👇

 
Ngoja tujisomee kwanza hapa
Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania
 
We bwana wewe jua Mwanza kama part ya Kanda ya Ziwa kuna kansa sasa kama hutaki basi tufanye Mwanza ni part ya Dar ila Hali halisi ni hii hapa 👇

View attachment 2039106
Una jua data analysis?
Kama hujui endelea na discusion zingine.
Mwanza inakaa hapo no.2 kwa kipi hasa cha maana?
Source iliyotaja kanda ya ziwa inaongoza kwa kansa ndio hiyo
imei- rank mwanza kuwa ya pili sijui unafikir kwa kutumia nin.
 
Sijui kwa nini hii taarifa ya Millard naiona ni ya uongo kabisa Mwanza haiwezi kuwepo kwenye mikoa maskini ila Kilimanjaro ndio inapaswa kuwekwa kwenye Mikoa maskini zaidi Tanzania.

Millard ayo ametokea kaskazini, na watu wa kaskazini most of them ni kawaida yao kusifia cha kwao hata kama hakina sifa. Namashaka na uraia wao hawa watu kwa maana wako very different na watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…