Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Kutoka mjini kati kwenda morombo km ngapi?
safari ya dakika 20 tu kutoka mjini kati ushaacha lami
ngoja nikusaidie
kwanza muundo wa Arusha dodoma au nairobi ni tofauti na mwanza
Arusha kuna barabara zaidi ya 6 za kutoka mjini wakati mwanza ni mbili tu kwa maana ya usagara na ile ya kisesa
hujasemea barabara ya Arusha hadi kia km 50 ni lami
kuna Nairobi road ni lami hadi namanga
kuna dodoma road ni lami hadi babati
kuna bypass km 42 zote ni lami kuna barabara ya chekereni hadi usa km 25 zote ni lami
sasa tukija kwa hapo Morombo unapopasemea ile barabara ipo chini ya tanroads ambayo inaenda simanjiro hadi dodoma na jiji halina mamlaka ya kuitengeneza
lakini bado hiyo barabara ya vumbi inaenda km 1.3 tu kabla hujafika barabara ya east africa ambayo nayo ni lami
haya kutoka hapo hapo Morombo kuna barabara ya kwenda dampo nayo ni lami kutoka dampo tena wamejenga kuonganisha na barabara ya east africa nayo tena ni lami
 
Hoja yako nini
Arusha inastahili kuwa ya kwanza, ya pili au?
 
Mimi nimemuelewa sana mtoa mada
Watu wengine wa miji mingine wanaleta hoja za population na ukubwa
Wanasahau kwamba ukiongelea population na ukubwa wa mji miji yao yote hata hainusi kwa dar
Lakini kuongelea kuhusu investments na real estate ni mbingu na ardhi Arusha iko mbali mno labda kwa vile nyie mnajengewa stendi na masoko🤣🤣



















 
hoja
soma hoja iliyoko mezani iliyoletwa na mtoa mada
ndio maana yule mwingine wa dodoma aliamua kukupuuza🤣
Wewe Mangi bhna aya arusha ni jiji bora then what?
unaongelea real estate kwa mji ambao haupanuki
shule ya ngarenaro ndio ya kupost hum na kudai ni jiji bora kweli ni bora.
 
Jamani ee
Haya yote yako Arusha yanajengwa na yanaenda spidi hatari
Hapa namuona mshindani wetu wa karibu anakua dodoma kutokana na uwekezaji mkubwa serikali inaweka kule
Ase kama una ubavu nipe mkono tushindane💪🤣
NB: USILETE PICHA ZA MASOKO NA STENDI TUJUE KAMA KWA PRIVATE INVESTMENTS NJE YA DAR KUNA MJI UNAISOGELEA ARUSHA





 
Thread yoyote inayoihusu Arusha/ Moshi lazima uone hili Sukuma genge na kuanza kuongea utopolo wao.

Hawa jamaa sijui tuliwafanyia kitu gani, yaani wana chuki binafsi na ukanda huu wa kaskazini.

Utopolo nyie.
 
Wewe Mangi bhna aya arusha ni jiji bora then what?
unaongelea real estate kwa mji ambao haupanuki
shule ya ngarenaro ndio ya kupost hum na kudai ni jiji bora kweli ni bora.
licha ya kuwa hizo picha za real estate unaziruka kama huzioni
sijui nani aliyewakaririsha kwamba watu wa Arusha ni wachagga 😢
Mimi mwenyewe mtoa mada sio mchagga wala hata asili yangu siyo kaskazin duh
 
Millard ayo ametokea kaskazini, na watu wa kaskazini most of them ni kawaida yao kusifia cha kwao hata kama hakina sifa. Namashaka na uraia wao hawa watu kwa maana wako very different na watanzania
Hujakatazwa kusifia na wewe cha kwako.
 
Mara ya mwisho kwenda Arusha ni lini? Embu niambie barabara za vumbi zilizo town jamaa.
 
Makao mapya kuna barabara za vumbi? Wapi? Ww utakuwa Arusha umefika mwaka 2005 huko.
 
Arusha imerudi kwenye chati ajabu bro tangu mama achkue nchi ameshaenda Arusha mara tatu na ameonyesha userious sana kwenye utalii
juzi amezidua hoteli ya nyota 5 Arusha
sasahivi aicc pale ni mikutano kila kukicha
na sasahivi kuna michuano ya mabungo yote ya eac yanaendelea tena Arusha
juzi nilikua na wageni wangu zile hoteli zote nilizozipoint zimejaa na nyingine ziko booked hadi januari
kama unamtu yuko Arusha kwenye sekta yoyote nliyotaja muulize akupe reference
hii ndio hoteli aliyoizindua mama last month Arusha

 
Mwambie mama akununulie simu
hiyo tecno itakulipukia haina chaji
 
Nawashukuru sana wachangiaji
Nimefurahishwa kuwa watu wengi wanakubaliana na hoja yangu
licha ya mapungufu ambayo ni kawaida kwa miji mingi ya kiafrika bado unaiacha Arusha kuwa moja ya majiji bora sana.
Na ni kutokana na hivyo serikali ikashawishika kupendekeza kuwepo kwa ofisi nyingi sana za kimataifa
kwa uchache tu
Mahakama ya Afrika
Mahakama ya UN-ICRM
Makao makuu ya posta Afrika PAPU
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambayo sasa hivi ipo serious sana
Makao makuu ya Tanapa,EABC,ALW na atomic energy comission
bila kusahau uwelo wa kituo kikubwa cha Mikutano Aicc na kipo mbioni kujengwa kituo kukubwa afrika kitakachojulikana kama MK - ICC
Hii ni Aicc



 
Hahaha! wonders shall never end.
Nunua simu kwanza kabla ya kudanganya umma una hela ya kupeleka
wageni wako hotel za nyota tano na kuzijaza zote.
 
Sijui kwa nini hii taarifa ya Millard naiona ni ya uongo kabisa Mwanza haiwezi kuwepo kwenye mikoa maskini ila Kilimanjaro ndio inapaswa kuwekwa kwenye Mikoa maskini zaidi Tanzania.
Sio taarifa ya Millard ni ya Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…