inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Kuna faida gani nchi kuongozwa na wabeba silaha Kama marekani,ambayo imeingizwa vitani kupitia wahuni wanaovuta nyuzi(strings) za za hayo magenge ya wabeba silaha (jeshi/intelligence agencies)Hapa rais anakuwa na nguvu, matokeo yake anageuka kuwa mlevi wa madaraka. Hatimaye, utashi binafsi wa rais ndio unageuka kuwa sheria za nchi. Hii kuwa na rais aliye juu ya sheria ndio imechangia nchi yetu kuongozwa kihuni.
KIPILIMBA mkuuMtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?
mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Yanini?ina maana huwaamini waliomteua?Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
atamuhitaji mungu?Mungu akawe nae..kwenye kutimiza majukumu yake
Kuna faida gani nchi kuongozwa na wabeba silaha Kama marekani,ambayo imeingizwa vitani kupitia wahuni wanaovuta nyuzi(strings) za za hayo magenge ya wabeba silaha (jeshi/intelligence agencies)
Ni mtoto wa kutoka Bwejuu.Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
Hapa wabeba silaha wanatumikia nchi siyo mabepariKwani hapa hata CCM si wako madarakani kutokana na hao wabeba silaha?
Usalama wa Taifa asili yake ni Special Police, tabia yao ya kwanza ni kuwa incognito yaani kutumia jina neutral kama Diwani Athumani. He is the best.Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
BeijingAlikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!
Hata Nyerere aliwajaza wazanaki idara nyeti sio kitu cha ajabuBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Tofauti ya mtu aliyeishi miaka 100 na mwingine 60 baada ya miaka 101 ni nini?? Afrika tuna shida sanaHuyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Naunga mkono hojaCIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Swali zuri, kama ni Masoro, basi ni kutoka mkoa wa MaraNi Nasoro au Masoro?
KWANZA ni mtanganyika au wa upande zipi? Naongeza KWa swali lakoMasoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
Depo la 1993,
Adv dip mzumbe, mastaz pretoria!
Ni ndugu wa mke wa mchungaji wa kanisa la mchepuko wa afande rco
Kumbe wa pande za nyumbani karibu Sana namkaribisha sanaBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Umefufuka!!Hongera kwa mteule
Naunga mkono for 100%Muda mwingine muwe mnaficha upumbavu wenu.