Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Unataka ujibiwe hoja wewe nani? Kama unaona umeonewa nenda kashitaki kuliko kubweka bweka humu kwenye mitandao. Upewe hoja wewe nani? kwanini?
kuna vijana hulipwa hela ya chips ili kuweza kusheheresha mada hasahasa hizi zenye masirahi na umma mkuuKama unaona hapa si sehemu sahihi kwani kaileta humu?.Wewe unatetea usifadi kwa manufaa ya nani?.Hawa wanaohoji ndiyo walipa kodi na wanataka kujua jinsi kodi yao ilivyotumika.
Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961
Yaani mtu anatuhumiwa wizi anasema tu "tuhums hizo ni za uongo ni uzushi mzipuuze" basi? Kama maelezo hayo tu yanatosha kumuondolea mtu tuhuma nani angekuwa gerezani?Kirahisi rahisi tu mnajibu tuhuma kubwa namna hii kwa barua kama ya wanafunzi wanaotakana kimahusiano?
Yaa
Yaani mtu anatuhumiwa wizi anasema tu "tuhums hizo ni za uongo ni uzushi mzipuuze" basi? Kama maelezo hayo tu yanatosha kumuondolea mtu tuhuma nani angekuwa gerezani?
mkuu bongo tunaishi kwa ujanja ujanja mwingi. hata usishangae.Mhuri wenyewe waliopiga ni hii ya kuchonga ambayo vibaraza vya posta inauzwa sh 2000, ubabaishaji wa namna hii ndio umefanya watu wakawa na uhasama mkubwa na serikali!
mkuu bongo tunaishi kwa ujanja ujanja mwingi. hata usishangae.
Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961
Hawa ni mahodari wa Fumigation na Stationery hivyo vingine wanandia tuAhsante sana kwa taarifa hii njema yenye afya.
Wewe lizaboni lazima mzaireKwani wewe ni Mtanzania? Mbona tunakujua kabisa kuwa wewe ni Mkenya?
Baba na mama yako walifanya yao wakiwa tanzaniaKwanini nilizaliwa mtanzania?