blackeye
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 300
- 95
Kusikia sikia hakukupi uhuru wa kuzungumzaMbona nasikia amekimbilia Iringa sasa........?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusikia sikia hakukupi uhuru wa kuzungumzaMbona nasikia amekimbilia Iringa sasa........?!
Tuhuma nzito kama izi mnazijibu kirahisi ivyo no facts wala figures.
Acheni dharau ivi mnajua mlicholipwa ni sehemu ya kodi yetu tuna wajibu wa kuhoji either moja kwa moja au kupitia bunge.
Katibu endeleeni kutafuna serikali inayoongoza malofa. UkiwA rafiki ya wakubwa huwezi kuwa jipu huh so ubwege??Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961
Wakuacha sijakuelewa Mkuu...Umelipwa sh ngapi mkuu????
Unapima kina cha great thinkers sio!!! Ok, well and good!Utotoni tulikuwa na kamchezo ka "kwenda kusema kwa baba" . Mara kadhaa mchezo huo ulitumika kwa lengo mbaya. Watoto wenye tabia ya uongo na kusema sema sana, waliweza kuwasingizia wenzao kwa "baba" ili wao waonekane Wema.
Kamchezo haka siku hizi kanafanywa na wakubwa. Kwa kuwa Rais Magufuli (baba) hupenda kuwasikiliza Wananchi (watoto), kuna kamchezo ka kuchongea wengine kwa nia mbaya.
Nimefuatlia kwa karibu sakata la Ndugu Lugumi na kuona kwamba "mtoto Lugumi anasemewa kwa Baba" bila kuwa na kosa.
Kibaya zaidi anasukumizwa kwenye kona ili aadhibiwe bila hata ya kupewa nafasi ya kutosha kujieleza.
Kama "Baba" (Rais ) hatakuwa Makini, atajikuta anashindwa kumlinda "mtoto wake" (Lugumi) dhidi ya maneno ya uongo yanayosemwa na watoto wabaya.
Kifupi ,Lugumi is Clean.
Utotoni tulikuwa na kamchezo ka "kwenda kusema kwa baba" . Mara kadhaa mchezo huo ulitumika kwa lengo mbaya. Watoto wenye tabia ya uongo na kusema sema sana, waliweza kuwasingizia wenzao kwa "baba" ili wao waonekane Wema.
Kamchezo haka siku hizi kanafanywa na wakubwa. Kwa kuwa Rais Magufuli (baba) hupenda kuwasikiliza Wananchi (watoto), kuna kamchezo ka kuchongea wengine kwa nia mbaya.
Nimefuatlia kwa karibu sakata la Ndugu Lugumi na kuona kwamba "mtoto Lugumi anasemewa kwa Baba" bila kuwa na kosa.
Kibaya zaidi anasukumizwa kwenye kona ili aadhibiwe bila hata ya kupewa nafasi ya kutosha kujieleza.
Kama "Baba" (Rais ) hatakuwa Makini, atajikuta anashindwa kumlinda "mtoto wake" (Lugumi) dhidi ya maneno ya uongo yanayosemwa na watoto wabaya.
Kifupi ,Lugumi is Clean.
Hauitwi moyo wa ujasiri, ni aina flani ya upunguani hivi!Kutetea mafisadi WA Tanzania yataka Moyo WA ujasiri na kipekee.