Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.

Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;

“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.

Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”

Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;

“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.

Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.

View attachment 340959

View attachment 340961
Katibu endeleeni kutafuna serikali inayoongoza malofa. UkiwA rafiki ya wakubwa huwezi kuwa jipu huh so ubwege??
 
Acheni wezi waitwe wezi! Mahakama ya wahujumu uchumi inachelewa. Risasi au upanga Ni halali Yao!
 
Lugumi Enterprises can't pass to be a political legend......, people are speaking behind the scene that the money meant for AFIS tender were used to destabilize EL from running as a CCM presidential candidate instead of Membe. What happened is internal miscommunication that catapulted JPM to be an aspirant... He knows that he is there not because of people's votes but because his party want to be in the helm for ever...
He is now munching the sweet (or bitter) part of presidency: He has been warned 'jiridhishe na majipu kabla ya kuyatumbua' and Lugumi is one of those hard majip.
JPM CCM huijui.
 
Utotoni tulikuwa na kamchezo ka "kwenda kusema kwa baba" . Mara kadhaa mchezo huo ulitumika kwa lengo mbaya. Watoto wenye tabia ya uongo na kusema sema sana, waliweza kuwasingizia wenzao kwa "baba" ili wao waonekane Wema.
Kamchezo haka siku hizi kanafanywa na wakubwa. Kwa kuwa Rais Magufuli (baba) hupenda kuwasikiliza Wananchi (watoto), kuna kamchezo ka kuchongea wengine kwa nia mbaya.
Nimefuatlia kwa karibu sakata la Ndugu Lugumi na kuona kwamba "mtoto Lugumi anasemewa kwa Baba" bila kuwa na kosa.
Kibaya zaidi anasukumizwa kwenye kona ili aadhibiwe bila hata ya kupewa nafasi ya kutosha kujieleza.
Kama "Baba" (Rais ) hatakuwa Makini, atajikuta anashindwa kumlinda "mtoto wake" (Lugumi) dhidi ya maneno ya uongo yanayosemwa na watoto wabaya.

Kifupi ,Lugumi is Clean.
 
Unapima kina cha great thinkers sio!!! Ok, well and good!
 
Katika kipindi hiki kuna wengi wataumizwa kwa kashfa na propaganda zinazochochewa na visasi na chuki. Mungu amjalie Rais wetu na vyombo vyote vya dola Hekma katika kufanya maamuzi.
Mimi naamini Bwana Lugumi atakuwa salama coz so far inaonekana shutma dhidi yake hazina Ushahidi.
 
Utotoni tulikuwa na kamchezo ka "kwenda kusema kwa baba" . Mara kadhaa mchezo huo ulitumika kwa lengo mbaya. Watoto wenye tabia ya uongo na kusema sema sana, waliweza kuwasingizia wenzao kwa "baba" ili wao waonekane Wema.
Kamchezo haka siku hizi kanafanywa na wakubwa. Kwa kuwa Rais Magufuli (baba) hupenda kuwasikiliza Wananchi (watoto), kuna kamchezo ka kuchongea wengine kwa nia mbaya.
Nimefuatlia kwa karibu sakata la Ndugu Lugumi na kuona kwamba "mtoto Lugumi anasemewa kwa Baba" bila kuwa na kosa.
Kibaya zaidi anasukumizwa kwenye kona ili aadhibiwe bila hata ya kupewa nafasi ya kutosha kujieleza.
Kama "Baba" (Rais ) hatakuwa Makini, atajikuta anashindwa kumlinda "mtoto wake" (Lugumi) dhidi ya maneno ya uongo yanayosemwa na watoto wabaya.

Kifupi ,Lugumi is Clean.

Umenena vyema sana .....baada ya principle of natural justice kufuatwa tusubr vyombo huska vituletee Majibu sahihi
 
Kutetea mafisadi WA Tanzania yataka Moyo WA ujasiri na kipekee.
 
Watanzania wananunulika tena kwa bei nafuu kabisa hapo hapo wanasema wanataka kukomesha ufisadi! Njaa mbaya sana!
 
Task: Value for Money Audit

Project: Provision of ......................... facilities

Contractor: Lugumi Enterprises & Infosys JV

Employer: Ministry of Home Affairs and Internal Security

Main findings:
1. Contract signature date ................
2. Contract start date 2011?
3. End of Contract date .................
4. Contract Sum =Tshs 36 Billion
5. Amount paid to Contractor =Tshs 35 Billion (~99%)
6. 128 nos of ........... facilities were to be provided
7. 14 nos of ............ facilities were provided
8. Only 2 nos of ........ facilities provided are working. Therefore work progress = (2/128)x100=1.5%

Conclusion & Recommendations

1. The Contractor was paid more than the actual work executed which caused loss of public funds. Therefore the Contractor must refund the extra funds disbursed to him. Also the Accounting Officer in the Ministry approved the payment must be brought to BOOK!

2. Ongezea nyingine!!
 
Back
Top Bottom