Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Namba ya lugumi ya nn bebi? Kwan mm sitoshi au Lamomy kashakudanganya
 
Kama anamiliki G-Wagon na Bentley among his 'toys' ina maana senti zipo kwa sababu ukiachilia kuyanunua hata running costs kwa mganga njaa lazima mashine za hivyo aziuze.
Ila hundred percent ulimbukeni anao kwa sana tu, kitendo cha kuirekodi hiyo showoff scenario na kuirusha ni ulimbukeni.
 
Jamaa ni supplier wa vifaa vya polisi na jeshi muda mrefu .
Procurement contracts za silaha na vifaa vya kijeshi zina pesa ndefu , watu labda wana chuki naye tu binafsi .
Ndio maana wanakwambia ukitoa madawa ya kulevya na human trafficking ,Hamna biashara profitable kama arms deals
Wewe hata feni huna ila gari inakula kiyoyozi
 
Lugumi hakuwa maskini bali alitikiswa na Jiwe. Hivyo, baada ya jiwe kufariki amerudi hewani, na anatuma ujumbe kwamba, yeye ni mtoto wa mjini hamumuwezi!

Ila twendeni na ukweli, kwa sasa ni kama vile ufisadi umerudi kwa kasi
Wenye kuuweza wanasema usipotajirika sasa,umeutaka umaskini mwenyewe.Mwenye kuelewa maana ya kauli hizi atusaidie kuelewa tafadhali.
 
Eeh sasa Arms sindio zinamtajirisha mmarekani haachi kupiganisha watu.
 
Ulimbukeni akifanya Mtanzania ila akifanya Rickross ni unyamwezi tu au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…