Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Niligoga sana hizi tenda za serikali kipindi fulani yani kuzipata utazipata ila pesa yake inaliwa na wengi mkuu🤣
Lazima ule na watu ili uendelee kuwepo kwenye gemu mana wahindi wao kutia hela hawaoni tabu. Wao wanaenda kuwaminya wafanyakaz wao.. ndo mana wahindi wanazipata sana hizi sababu wanatembeza takrima vya kutosha
 
Ukiona unaona kuna maringo kwenye hili suala la Lugumi kuonesha magari yake basi ujue kuwa wewe ni lofa,una roho mbaya na ya kwanini na pahala sahihi panapofaa wewe kuishi ni Jehannamu.
 
Hivi itakuwaje kila Mtanzania. akiamua kuwa motivated na kutafuta pesa kwa njia haramu? Mana kwa sasa wale ambao tumemtanguliza Mungu hatutaki kuiba mali za Watanzania tunaonekana wajinga, halafu watumishi wa umma au wafanyabiashara wakifanya hujuma na kupata pesa zaidi ya shughuli zao halali ndio wanaonekana wajanja!
 
Dah cheka mbaya sana
 
Siyo kweli hakuna watu wanapenda show off kama wahindi.
Angalia harusi ya mtoto wa mukesh ambani ili ndo tabia ya wahindi. Angali jengo lake analoishi ni heaven on slum
Lakini ni wachache sana wanafanya hivyo. Ila nigger akikamata hata laki tano mshahara kwa mwezi yani ni fujo kitaa.
Daah wahuni wanaringishia kwa kodi zetu unakuta hawana hata kitu cha kuuza zaidi ya kulamba Tenda za Serikali kwa ujambazi..mzigo uliopo parking si wa kitoto aisee
Mkuu kweli huo mzigo parking ni hatarii. Range ya mwaka huu. Nimepiga hesabu haraka haraka thamani ya huo mzigo ni billion tano au zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…