shichandao
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 274
- 418
Ule mwanya pale polisi enzi za Kikwete hakupewa na baba mkwe wake,wajina?Kikwete mwenyewe aliyempa huo mwannya wa wizi hapo jeshi lampolisi hafanyi haya.., hata Chenge kaiba kuliko wote.., hajawahi fanya hivi.., hiyu litamkuta jambo
Ukiyapata utajua raha ya kuringishia.
Siupendi umasikini..
Huleta kutojiamini
Huleta chuki
Ni mmasai somebody jerry lukumay, nazani kwa upande wao nao watakuwa vizuriKma yule mmasai aliemuoa binti wa mwinyi....unatgemea mwamba atakufa kzembee kulee???hilo kabila lake sina uhakika lakn anaonekana kama ni "yerooo"
Una mikakati gani kuondokana nao mkuuHaunifikii nnavyouchukia umasikini.
Mambo yanaanzaga hivi mkuu. Si unaona, mabinti wenyew wanapima kwanza anapata nini. Sio bure bure tu eti akubali kuolewa na shoeshiner au muokota makopo.....hapa mwamba akikaa sawa utakuta nayy ana hotel ya kitalii huko zenjibaaNi mmasai somebody jerry lukumay, nazani kwa upande wao nao watakuwa vizuri
Juzi kati alikuwa Europe na baadhi ya makanali wa jeshi la wananchi wa Tanzania walikuwa kwenye mission ya kununua silaha kwa ajili ya jeshi la wananchi (JWTZ). Hii ni syndicate kubwa sana wako vigogo wakubwa nyuma ya lugumi. JWT, Police na baadhi ya mawaziri na makatibu wakuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya fedha. Baada ya IGP Said Mwema kuanzisha hili deal na Lugumi na baadhi ya maofisa wa police procurement team,naona deal limeenda mpaka jeshi letu pendwa. Hii ni kashifa kubwa sana kwa jeshi letu. Lugumi ni darasa la Saba. Kazi yake ilikuwa shoeshine hapo Mwanza hotel jijini Mwanza kabla ya kumupataa mke wake mdogo wake Said Mwema (IGP). Hivyo mambo anayofanya Lugumi ni kwa sababu ya Elimu yake ndogo anataka kuwakomoa wasomi waonekane takataka na kwamba shule haina maana.Interesting part is, what business does he do? Selling arms? To whom? Tanzania government or other legitimate governments? or rebels for that matter?
Kuna lapse of information somewhere. There is kind of arrogance which he displays, which brings alot of questions than answers.
Siyo ulimbukeni.View attachment 3135806
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.
Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Nailed it.Don’t hate the players, hate the game.
Kwenye garage kila gari inapozwa na air con yakeKuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Juzi kati alikuwa Europe na baadhi ya makanali wa jeshi la wananchi wa Tanzania walikuwa kwenye mission ya kununua silaha kwa ajili ya jeshi la wananchi (JWTZ). Hii ni syndicate kubwa sana wako vigogo wakubwa nyuma ya lugumi. JWT, Police na baadhi ya mawaziri na makatibu wakuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya fedha. Baada ya IGP Said Mwema kuanzisha hili deal na Lugumi na baadhi ya maofisa wa police procurement team,naona deal limeenda mpaka jeshi letu pendwa. Hii ni kashifa kubwa sana kwa jeshi letu. Lugumi ni darasa la Saba. Kazi yake ilikuwa shoeshine hapo Mwanza hotel jijini Mwanza kabla ya kumupataa mke wake mdogo wake Said Mwema (IGP). Hivyo mambo anayofanya Lugumi ni kwa sababu ya Elimu yake ndogo anataka kuwakomoa wasomi waonekane takataka na kwamba shule haina maana.
Said Mwema asingeweza fanya hivyo bila JK kuruhusu wizi ufanyikeUle mwanya pale polisi enzi za Kikwete hakupewa na baba mkwe wake,wajina?
Una mikakati gani kuondokana nao mkuu
Mambo ya kike kuwapangia wanaume jinsi ya kuishi,tafuta pesa upunguze lawama, hata ukiniona chawa ni sawa ila ninavyomiliki nina uhakika hunaWw ni chawa lake au........
Naona umeandika kipovu povu mwambie akununulie hata ist ukamringishie mkeo
Nimekupata mkuu,na SM akapendeza Lugumi kubeba sarandusi na kuambulia maoto anayotamba nayo.Said Mwema asingeweza fanya hivyo bila JK kuruhusu wizi ufanyike
Hii mentality inanipa shida kuielewa. Nani alikwambia kwamba mtu akinunua Bentley au Gwagon au akajenga jumba la kifahari, hafanyi investments? Kwani haiwezekani kusukuma ndinga ya million Mia tano na bado ukawekeza kwenye mambo mengine? After all mwisho wa siku Lengo la hizo investments ni kuwa na uwezo wa kuishi vizuri. Au kwenu wenzetu vitu vya maana ni vipi?Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Umeongea kiume. Fanya kitu ambacho kinakupa furaha Sasa. Sote tutakufa, Sasa kwanini ujibane?Wivu na umaskini ndio unawasumbua, acheni upuuzi wacha afanye kinachompa raha..leo uko hai kesho umekufa atleast ume enjoy, umeendesha magari unayoyapenda, nyie mnaoshauri kwa nini msitafute zenu kama ni rahisi..
Unasubiri mpaka uumwe ndio ule vizuri?
Bahati mbaya unaumwa na masharti mengi kwenye vyakula na pesa unayo na huwezi kula unachotaka..
Pesa unayo usiendeshe gari unayotaka kesho umeumwa uruhusiwi ku drive tena..
Fanya kile kinachokupa raha, maisha ni mafupi..hawa waja hawana jema.
Bata Maldives, nunua magari ya gharama, perfumes za gharama, mavazi ya gharama,kaangalie mechi ama ndondi live majuu, lala pazuri, tunza afya..enjoy maisha mana ni mafupi..
Usimsahau Muumba wako pia.
We kamata pesaHivi itakuwaje kila Mtanzania. akiamua kuwa motivated na kutafuta pesa kwa njia haramu? Mana kwa sasa wale ambao tumemtanguliza Mungu hatutaki kuiba mali za Watanzania tunaonekana wajinga, halafu watumishi wa umma au wafanyabiashara wakifanya hujuma na kupata pesa zaidi ya shughuli zao halali ndio wanaonekana wajanja!
Bro, bila kila raia kusimama na kupambania mfumo bora, masikini wa Tz siku zote ataendelea kuwa mtaji sahihi wa akina Lugumi na wenzake kama yeye.Daah wahuni wanaringishia kwa kodi zetu unakuta hawana hata kitu cha kuuza zaidi ya kulamba Tenda za Serikali kwa ujambazi..mzigo uliopo parking si wa kitoto aisee
Oyaaa ! Tusake noti wazee40k usd ni uchafu kwake 🤣🤣