Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Interesting part is, what business does he do? Selling arms? To whom? Tanzania government or other legitimate governments? or rebels for that matter?

Kuna lapse of information somewhere. There is kind of arrogance which he displays, which brings alot of questions than answers.
Juzi kati alikuwa Europe na baadhi ya makanali wa jeshi la wananchi wa Tanzania walikuwa kwenye mission ya kununua silaha kwa ajili ya jeshi la wananchi (JWTZ). Hii ni syndicate kubwa sana wako vigogo wakubwa nyuma ya lugumi. JWT, Police na baadhi ya mawaziri na makatibu wakuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya fedha. Baada ya IGP Said Mwema kuanzisha hili deal na Lugumi na baadhi ya maofisa wa police procurement team,naona deal limeenda mpaka jeshi letu pendwa. Hii ni kashifa kubwa sana kwa jeshi letu. Lugumi ni darasa la Saba. Kazi yake ilikuwa shoeshine hapo Mwanza hotel jijini Mwanza kabla ya kumupataa mke wake mdogo wake Said Mwema (IGP). Hivyo mambo anayofanya Lugumi ni kwa sababu ya Elimu yake ndogo anataka kuwakomoa wasomi waonekane takataka na kwamba shule haina maana.
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Siyo ulimbukeni.

Tafuta hela
 
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Kwenye garage kila gari inapozwa na air con yake
 
Juzi kati alikuwa Europe na baadhi ya makanali wa jeshi la wananchi wa Tanzania walikuwa kwenye mission ya kununua silaha kwa ajili ya jeshi la wananchi (JWTZ). Hii ni syndicate kubwa sana wako vigogo wakubwa nyuma ya lugumi. JWT, Police na baadhi ya mawaziri na makatibu wakuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya fedha. Baada ya IGP Said Mwema kuanzisha hili deal na Lugumi na baadhi ya maofisa wa police procurement team,naona deal limeenda mpaka jeshi letu pendwa. Hii ni kashifa kubwa sana kwa jeshi letu. Lugumi ni darasa la Saba. Kazi yake ilikuwa shoeshine hapo Mwanza hotel jijini Mwanza kabla ya kumupataa mke wake mdogo wake Said Mwema (IGP). Hivyo mambo anayofanya Lugumi ni kwa sababu ya Elimu yake ndogo anataka kuwakomoa wasomi waonekane takataka na kwamba shule haina maana.

Issue ya usomi hapo imekujaje?
 
Una mikakati gani kuondokana nao mkuu

Nguvu ya kutuvuta kuturudisha kwenye hilo lindi la umasikini ni kubwa mno.

Jambo la kwanza kabisa ni kuuchukia umasikini wenyewe.

Pili nimejifunza kuwajibika Kwa mipango na hatua zozote nnazozichukua kuongeza umbali kati yangu na umasikini. Hii ikiwa ni pamoja na kuweka juhudi na jitihada kwenye Kila nnachokifanya.

Mwisho, haya mambo ni kudra. Usijeukabahatika kupata upenyo kidogo ukawaona wengine majuha. Watu wanapambana sana.
 
Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Hii mentality inanipa shida kuielewa. Nani alikwambia kwamba mtu akinunua Bentley au Gwagon au akajenga jumba la kifahari, hafanyi investments? Kwani haiwezekani kusukuma ndinga ya million Mia tano na bado ukawekeza kwenye mambo mengine? After all mwisho wa siku Lengo la hizo investments ni kuwa na uwezo wa kuishi vizuri. Au kwenu wenzetu vitu vya maana ni vipi?

Pia tujifunze, Ukiona mtu ana maisha mazuri, usikimbilie kuhukumu kwamba ni tapeli. Kila mtu ashinde mechi zake.

Angalizo: Ukiwa unaishi, usisahau kuishi.
 
Wivu na umaskini ndio unawasumbua, acheni upuuzi wacha afanye kinachompa raha..leo uko hai kesho umekufa atleast ume enjoy, umeendesha magari unayoyapenda, nyie mnaoshauri kwa nini msitafute zenu kama ni rahisi..

Unasubiri mpaka uumwe ndio ule vizuri?
Bahati mbaya unaumwa na masharti mengi kwenye vyakula na pesa unayo na huwezi kula unachotaka..

Pesa unayo usiendeshe gari unayotaka kesho umeumwa uruhusiwi ku drive tena..

Fanya kile kinachokupa raha, maisha ni mafupi..hawa waja hawana jema.

Bata Maldives, nunua magari ya gharama, perfumes za gharama, mavazi ya gharama,kaangalie mechi ama ndondi live majuu, lala pazuri, tunza afya..enjoy maisha mana ni mafupi..
Usimsahau Muumba wako pia.
Umeongea kiume. Fanya kitu ambacho kinakupa furaha Sasa. Sote tutakufa, Sasa kwanini ujibane?
Acha aliyepata atumie atakavyo
 
Hivi itakuwaje kila Mtanzania. akiamua kuwa motivated na kutafuta pesa kwa njia haramu? Mana kwa sasa wale ambao tumemtanguliza Mungu hatutaki kuiba mali za Watanzania tunaonekana wajinga, halafu watumishi wa umma au wafanyabiashara wakifanya hujuma na kupata pesa zaidi ya shughuli zao halali ndio wanaonekana wajanja!
We kamata pesa
Pesa haina ustaarabu
 
Daah wahuni wanaringishia kwa kodi zetu unakuta hawana hata kitu cha kuuza zaidi ya kulamba Tenda za Serikali kwa ujambazi..mzigo uliopo parking si wa kitoto aisee
Bro, bila kila raia kusimama na kupambania mfumo bora, masikini wa Tz siku zote ataendelea kuwa mtaji sahihi wa akina Lugumi na wenzake kama yeye.
 
Back
Top Bottom