Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Hatari sana..
 
Muacheni atambe bana kha pesa zake mwenyewe kodi ya serikali analipa yeye alitafuta yeye mwenyew acheni awatie hamasa muhamasike na nyie kutafuta..umaskini mbaya alafu unasababisha ujenge chuki na waliofanikiwa ukiamini kila tajiri anajishow off,ni free masoni anapesa za kichawi..umaskini unasabisha umpabgie mtu namna ya kuishi while muda anastrugle kutafuta pesa ulimuona kama Fala anaepoteza muda na unamuwekea na limit zako asivuke akivuka tu tayari unajenga chuki na mitazamo hasi...LUGUMI EE WANYOOSHE WANYOOKE KAMA RULA SHOW OFF UWEZAVYO
 
Maana yake ni kuwa kashfa mliyomzushia imeisha na vyake ni halali hivi sasa.
 
Lugumi hakuwa maskini bali alitikiswa na Jiwe. Hivyo, baada ya jiwe kufariki amerudi hewani, na anatuma ujumbe kwamba, yeye ni mtoto wa mjini hamumuwezi!

Ila twendeni na ukweli, kwa sasa ni kama vile ufisadi umerudi kwa kasi
 
ilisemwa wana udugu na Aliyekuwa IGP Mwema na ndiye aliyempa hilo shavu...
 
Muhimu ni kama kapata hela kihalali. Hajaibia MTU wala hajaiibia Serikali. Hata watanzania wengine watapata kujifunza kupitia njia alizopitia yeye kupata huo utajiri. Vijana kwa wazee kwa watoto watahamasika kumuiga ili nao watajirike kwa kufuata njia alizotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…