Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Kumbe yupo kama Yahya Sinwar, ni mfungwa anayetembea. Ila inasikitisha sana. Huwa najiuliza inakuwaje mtu unakosa uzalendo kiasi hicho??? Unaiibia nchi yako????
 
Extrovert unacheka cheka tu vipi umelewa nn mkuu!
 
Unaweza pia kuringishia ya kwako mkuu no offence.
 
Of coz kwa regime hii jamaa ni untouchable achilia mbali ile regime ambayo alitamani kuhama nchi kwa visanga na kesi miamia.

Hivi unajua jamaa ni supplier uniform za polisi, na vitu vingine important katika taasisi nyeti nchini, muache atambe regime ni yake na kina Abdul!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…