machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Nawasha Bomu langu kubwa(phantom) navuta na get high
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wewe Mdogo wngNasoma sana vitabu vipya...nasikiriza mahubiri, nakula sana vyakula vitamu ninavyo vipenda...nafanya ngono sana...
Ahahahaa....nimeongea ukweli ukweli mtu...Wewe wewe Mdogo wng
Hapa kwenye kusali ufanisi unakua mdogo kama msongo unakua mkubwaYou pray to God for Sanity!
Hyo ngono unafanyaje wakati wataalamu wanasema ili tendo hili niwe na matokeo mazuri inatakiwa mtu asiwe na msongo wa mawazo!!! Acha ngono utajiongezea stressNasoma sana vitabu vipya...nasikiriza mahubiri, nakula sana vyakula vitamu ninavyo vipenda...nafanya ngono sana...
HahahahahhaAhahahaa....nimeongea ukweli ukweli mtu...
Halafu anasikiliza kwanza Mahubiri yakikolea anafanya ngonoHyo ngono unafanyaje wakati wataalamu wanasema ili tendo hili niwe na matokeo mazuri inatakiwa mtu asiwe na msongo wa mawazo!!! Acha ngono utajiongezea stress
Tumetofautiana...yani nikiwa na hasira msongo wa mawazo...nikifanya ngono kidogo naweza kupunguza hayo yote...na huwa naperfom vizuri kuliko nikiwa mzima bila mawazo wala hasiraHyo ngono unafanyaje wakati wataalamu wanasema ili tendo hili niwe na matokeo mazuri inatakiwa mtu asiwe na msongo wa mawazo!!! Acha ngono utajiongezea stress
Mbona umefurahiHahahahahha
Tuko pamoja mkuu kwenye hili, ndo maana nami nahtaji kujua vile wenzangu wanakabiliana na hali hii, hebu tuangalizie kwa wenzetuDah....hii hali ndo niliyopo sasa hivi...kiukweli pesa sio kila kitu
Hebu share nami baadh ya hizo muvi ili nizitafutekuna kuangalia movie za kukuburudisha, kupiga story na marafiki wa aina mbalimbali wanaosaidia kuondoa stress, kuspend mahali na familia vyote vinasaidia sana kwa upande wangu
Nimefurah, nikiwa na stress ntakutafutaMbona umefurahi
Hahaaaa...nawewe upo kama mimi nini?Nimefurah, nikiwa na stress ntakutafuta
Just joke, nikiwa na stress Mimi nikuimba mapambio tuuHahaaaa...nawewe upo kama mimi nini?
Hongera...nifundishe na mimi tuwe tunaimba woteJust joke, nikiwa na stress Mimi nikuimba mapambio tuu
Penda kuangalia move,kucheza gemu kusikiliza muzik mzuri na kula sana chocoleti ni tibaya msongo wa mawazoDah....hii hali ndo niliyopo sasa hivi...kiukweli pesa sio kila kitu
Japo kweli inatisha ila umenifanya niwaze, hebu nkuulize ufkapo maeneo hayo je ni vitu gan huwa unaviwaza zaidi na kufunika mawazo uliyonayo?I seek solace at the graveyard, it's morbid but it works for me!
Try this at your own peril, kuna vibaka baadhi ya graveyards.
Ntakufundisha ukiwa na stresss usikimbilie Kwene ngono, ntakupoteza ndg, ukiwa na stress nichekHongera...nifundishe na mimi tuwe tunaimba wote