Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hutoi sababu unataka kubembelezwa?Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
asant mkuupole sana mkuu
Nitafute kwa ushauri zaidiNdugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
halafu asiende na demu ataongezewa stressunahitaji mapumziko, chukua likizo nenda pande za Tanga mitaa ya chumbageni kule - utarudi mzimaaaa
Tafuta furaha, kumbuka hakuna wa kukupa furaha humu duniani, yaani raha unajipa mwenyewe!ahhhah mkuu ushauri wako wa kibabe...
ssasa napigaje chini stress mkuu kwa sababu ni jambo la ndani ya mwili ngumu
Watu wanazingua kinoma! Full kukata stimu, jitafutie kwa kufikiria hasa kitu gani kinakupa raha then lisongeshe!Mkuu nashkuru sana kwa ushauri...
unajua some time nikisema nikae na watu nakuta story za majungu alafu nakuta nachukia tu naanza kuondoka kwa gia ya kupokea cm ndo mazima hyooo
Sikiliza track ya CCM mbele kwa mbele ufe kabisa
Kifo ni dawa pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]amekukosea nini? nimecheka mpaka machozi
atafanya kazi gani wakati amepanga chumba kimoja ?Tafuta kazi ya kuku keep busy after work kunywa maji mengi kisha lala
Kwani lazima afanyie kwenye icho chumba kimoja?atafanya kazi gani wakati amepanga chumba kimoja ?
wise and kind as usual, GOD bless mkuu kwako!Mkuu, this is not right.
In a world full of all sorts of evil and chaos the best you can do it be nice to each other.
Pata picha mpaka mdau amejitokeza kuomba msaada ujue kakosa furaha na wmani kabisa katika maisha yake.
Just be kind, don't make him feel worse.
kumbe jf kuna wapuuzi baadhi kiasi hichi....atafanya kazi gani wakati amepanga chumba kimoja ?
mkuu tatizo naweza kukaa sina cha kuzidi cha kunipa mawazo hvyOK lakini naona tu automatically moyo hauna raha kabisa kama kuna kitu cha huzuni kinazunguka moyoni...Unamfahamu nini kinachokupa stress?
mkuu umeuliza swali kwa niaba yangu..Kwani lazima afanyie kwenye icho chumba kimoja?
Nilikujibu leo asubuhimkuu tatizo naweza kukaa sina cha kuzidi cha kunipa mawazo hvyOK lakini naona tu automatically moyo hauna raha kabisa kama kuna kitu cha huzuni kinazunguka moyoni...
Thank you.wise and kind as usual, GOD bless mkuu kwako!