Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
hutoi sababu unataka kubembelezwa?
pole mkuu.
 
unahitaji mapumziko, chukua likizo nenda pande za Tanga mitaa ya chumbageni kule - utarudi mzimaaaa
 
Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Nitafute kwa ushauri zaidi
 
Mkuu nashkuru sana kwa ushauri...

unajua some time nikisema nikae na watu nakuta story za majungu alafu nakuta nachukia tu naanza kuondoka kwa gia ya kupokea cm ndo mazima hyooo
Watu wanazingua kinoma! Full kukata stimu, jitafutie kwa kufikiria hasa kitu gani kinakupa raha then lisongeshe!
 
aise pole sna ila fanya kitu kimoja ebu ukifika kwako chukua karatasi andika matatizo yako yooote uliopitia ktk maisha yako ambayo yamekataa kukutoka na ukimaliza fanya iwe dozi uyasome kila siku unapotaka kulala ndani ya siku 21 maana maneno yaliyoko kwenye karatasi huw yanasahaulika mapema kichwani mwa watu kuliko yale yaliyoko kichwani mwako, alafu cha pili ebu fikilia nn ulicho nacho kabla ya kufikilia hivyo vingine vikubwa unavyotaman yaani ww fikilia uko mzima kiafya lkn wapo wagonjwa mahospitalin, huna hela lkn wapo ambao ata hicho kidgo unachopata hawapati, una simu au laptop uliyotumia kuleta hii maada hapa wapo wengine hawna, basi ukisha kuwa unajilinganisha na vitu ambavyo ni hovyo sna utagundua ww ni afadhali kuliko wengine, then utaelewa maisha yanahitaji subira, hupotezi muda bali kuna darasa unapitia yaan uko katika kujifunza.
 
Mkuu, this is not right.

In a world full of all sorts of evil and chaos the best you can do it be nice to each other.

Pata picha mpaka mdau amejitokeza kuomba msaada ujue kakosa furaha na wmani kabisa katika maisha yake.

Just be kind, don't make him feel worse.
wise and kind as usual, GOD bless mkuu kwako!
 
Unamfahamu nini kinachokupa stress?
mkuu tatizo naweza kukaa sina cha kuzidi cha kunipa mawazo hvyOK lakini naona tu automatically moyo hauna raha kabisa kama kuna kitu cha huzuni kinazunguka moyoni...
 
mkuu tatizo naweza kukaa sina cha kuzidi cha kunipa mawazo hvyOK lakini naona tu automatically moyo hauna raha kabisa kama kuna kitu cha huzuni kinazunguka moyoni...
Nilikujibu leo asubuhi
 
Back
Top Bottom