Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

dah mkuu hapo umenigusa kweli kuhusu kuwa na mtu nampa siri zangu kwa kwelii sina kama rafiki nazungumza nae kawaida

na sina mtu wa kumuambia yale ya siri kwa sababu hawa rafiki nilionao unaweza kinmuambia jambo lako kisha baadae akikaa na washkaji wengine kunogesha story naye anasimulia yale ulomuambia

sasa imenifanya nitizame kwanza yupi wa kumfanya msiri jambo ambalo naona bora ishu nikae nazo mwenyewe kuliko kumuambia mtu ambae naye anazisambaza kwa wengine naona ananipa stress zaidi..

au unanipa wazo gani kuhusu hili mkuu Tobaa
Pengine ulipokulia hapaendani na tabia na ndoto zako .... sometimes tunajikuta tunalelewa katika mazingira ambayo si rafiki na tabia zetu hivyo tunajikuta tumejifunga na kujiona kuwa tupo tofauti na wengineo ama tumekosewa ama sisi tuna matatizo ;
ukweli ni kuwa hata muerevu akikaa katika kundi la wasiojielewa huishia kuonekana mwendawazimu hivyo sometimes sio kosa letu

Pili yawezekana unakuwa na marafiki ambao hamuendani na hamfai kuchangamana ...mfano cocoa na maziwa vina asili na ladha tofauti ila vikichanganywa huleta ladha bora zaidi lakini mafuta na maji kamwe havichangamani ...

Namaanisha mnaweza kuwa marafiki wenye tabia mbili tofauti na mkarandana kama mcheshi na mtaratibu lakini kuna tabia ambazo huwa haziendani na hazichangamani...pengine upo katika kundi mojawapo

Alafu usijipe limits maana huwezi kaa ndani ukategemea kupata rafiki sahihi ingawa inawezekana maana nimepata rafiki jf kimasikhara tu na tunaongea deep issues ambazo hata siwezi kumuambia mtu mwingine na hapo bado hatujakutana lakini kutokana na chats tukajua kuwa tunarandana kwa vitu vingi ...

Kingine mtu perfect hayupo duniani lakini usije kujidanganya kufuga kunguru ili ageuke njiwa kisa njiwa hawapatikani ..huo ni wendawazimu ..Kheri uwe peke yako na ukaitunza furaha yako kuliko kuwa na watu wanaokufanya ujihisi mpweke zaidi ..usiwe desperate ..take your time
 
big up mkuu nipo makini kupokea mawazo yako ahsante sana
 
Usijali unakaribishwa pia pm .. ingawa naeza kuwa busy sometimes lakini huwa sikosi time ya kumsikiliza mtu anayenihitaji .ahsante kwa shukrani
 
me nkiwaga na stress naingiaga kusoma comments huku JF [emoji3] [emoji3] lbd na ww uige
 
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi
Iliwahi kunikuta hii... ghafla unaona kila kitu ktk dunia hakifai..... kila uwazalo waona ni ubatili... hii ni roho ya mauti ikatae kwa jina la Yesu!!
 
shukran mkuu ..

ila hapo kwenye yesu sisi tunaweka Allah.....
 
hii hali hunitokeaga sana hasa ninapokua mwenyewe (napenda kukaa peke yangu)najikuta roho inahuzunika sana nakua sina furaha kabisa alafu nakua natamani kujiua tena kifo cha haraka sana....hii hali inakujaga nakuondoka
 
Life is not fair bro! accept it,hii ndo dawa pekee ya kukubaliana na stress
 
hii hali hunitokeaga sana hasa ninapokua mwenyewe (napenda kukaa peke yangu)najikuta roho inahuzunika sana nakua sina furaha kabisa alafu nakua natamani kujiua tena kifo cha haraka sana....hii hali inakujaga nakuondoka
dah pole mkuu...mana mie sikuwahi hata kufa mkuu lakini huwa nawazaga tu kwa kusema. "hivi nikifa si ndo basi na haya yanayonipa mawazo ndo yanakatika"...

kisha baada ya hapo nakuwa napoteza hamu kabisa ya kufanya mambo yote nabaki nahuzunika tu kwamba kumbe hata malengo yangu hayana maana yeyote mana kuna kifo mbele yangu..

lakini sikuwahi kukaa kutamani kujiua au kufa laa
 
Stress dawa yake dharau nimeitumia hii dawa kwa sasa nainjoy life balaa
 
dah pole mkuu...mana mie sikuwahi hata kufa mkuu lakini huwa nawazaga tu kwa kusema. "hivi nikifa si ndo basi na haya yanayonipa mawazo ndo yanakatika"...

kisha baada ya hapo nakuwa napoteza hamu kabisa ya kufanya mambo yote nabaki nahuzunika tu kwamba kumbe hata malengo yangu hayana maana yeyote mana kuna kifo mbele yangu..

lakini sikuwahi kukaa kutamani kujiua au kufa laa
huwa naonaga kijiua ndio suluhisho maana unakuta kuna jambo limenaniumiza kichwa alafu baadae nakuja kuona kama kufa nilazima kwanini niendelee kuteseka hivi.. roho huwa inaniumaga sana..yaani kama ningekuwa na bastola ungekutaga nimeshakufaga siku nyingi saaana
 
Back
Top Bottom