Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

Ingia darasani Cheti Feki kitaendelea kukutesa sana!
Kila mtu anakijisababu chake tu cha kumchukia mwamba.

Huyu lazima kuna sehemu jamaa alimgusa akambana.

Ila sisi tuonayo mazuri yake na utendaji wake.. Na hakuwahi kutugusa kwenye negative way, akatugusa in postive way.. Kwanini tusimpe sifa zake.

Apumzike kwa amani Mjomba Magufuli.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

We msafwa bure kabisa ndio sababu mmekimbizwa hapo mjini MB na Wala ndizi

Mmebakia kuwa wapagazi wa Wakinga πŸ˜€πŸ˜€
Mbona hukumshauri shujaa wa Africa abinafsishe Bandari?
 
Huyo shetani akae huko huko shimoni. Anayemkumbuka ni shetani kama yeye tu.
 
huu mkataba ni. HATARI kwa nchi, huu mkataba umekaa kimabavu Sana !! ukiusoma vizuri na kwa utulivu!!!. Yaani ukitia saini tu Basi huruhusiwi kujikuna kwa lolote hata Kama unakanyagwa, na ukitaka kujikuna unatakiwa kupanda dreamlimer au Ethiopia airline mpaka Africa kusini ukatoe malalamiko huko, na Hata Kama hujapata haki huruhusiwi kuvunja mkataba . DAAAH NI KICHAA TU NDO ANAWEZA KUUELEWA HUU MKATABA.
 
Eti mapato yakiongezeka serikali itapunguza mzigo wa kodi kwa watanzania, bladifakeni.
 
Mbona hukumshauri shujaa wa Africa abinafsishe Bandari?
Mchakato wa ubinafsishaji ulishafanywa na Dr Mwakyembe wa Kyela enzi za awamu ya 4 kilichobaki ilikuwa ni ujasiri wa utekelezaji na vipaumbele vya Marais na Mabunge yajayo

Ni kama Serikali kuhamia Dodoma au Bwawa la Nyerere yaani Vipaumbele!

Baraza la Mawaziri la awamu ya 4 hata hapo Mwanjelwa mnawajua Wajumbe wake wa Kudumu πŸ˜‚!
 
Kwa nini shujaa wako uchwara hakutekeleza?
 
Magufuli ameanza kukumbukwa kwasababu alikuwa na akili zaidi ya huyu tuliyenaye, ni hivyo tu.
 
Serikali haziwezi kufanya biashara. Hata ATCL nayo ikodishwe tu
 
muuwaji, mporaji, mnyang'anyi, asiyepingwa, asiyetaka upinzani, muonevu we nenda tu bora umaskini wenye amani
 
Serikali haziwezi kufanya biashara. Hata ATCL nayo ikodishwe tu
Kagame aliomba apewe Bandari ya Dar aisimamie enzi za KIKWETE na alionekana anatudharau, tukasema tunaweza kuendesha wenyewe.

Leo iweje bandari hiyo hiyo apewe mwarabu Kwa mkataba wa kijuha?

Tukirudi kati Kwa Maslahi ya Taifa sioni kama Kuna tatizo.

Turudi tu kati Dodoma, tuhakikishe Maslahi ya Taifa yanaazingatiwa na mkataba unarudishwa Kwa aliyeuleta utupwe Kapuni.
 
Asingeuliwa yote yangekamilika

Hata huo Uwanja wa Wanyakyusa hapo Sokoine ungebomolewa na kujenga wa Kisasa!

Ndio sababu Mbeya mjini aliiweka mikononi kwa Mbunge mzawa Dr Mwansasu πŸ˜€πŸ˜€
Nani alimuua shujaa? Si alikuwa anakindwa na Mitambo kutoka Israel na walenga shabaha ambao wewe ulikuwa Kiongozi wao bila kusahau waganga,vipi ulishindwaje kazi Yako au wew ndio ulimuia? 🀣🀣
 
Ilani ya Uchaguzi anayoitumia sa100 ni ilani ya Uchaguzi ya 2020.

Ilani hiyo Alipewa Magu na sa100 Kwa uchaguzi wa 2020.

Ilani hiyo haikuelekeza kuuza bandari Bali kuiboresha kuleta ufanisi.

Serikali ya sa100 inafanya usaliti Kwa Watanzania na Haina mamlaka kufanya hivyo.

Hili halikubaliki!!!!!
 
Nani alimuua shujaa? Si alikuwa anakindwa na Mitambo kutoka Israel na walenga shabaha ambao wewe ulikuwa Kiongozi wao bila kusahau waganga,vipi ulishindwaje kazi Yako au wew ndio ulimuia? 🀣🀣
Ungekuwepi enzi za Sokoine na akina Dube usingeuliza hili swali Bwashee πŸ˜‚

Hakuna mtu alikuwa na kikosi cha Waganga kama Kolimba wa Ludewa

Sema tu kazi ya Mungu haina makosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…