Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.

Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).

Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.

Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake, hivyo baadhi ya kura za wana-CCM Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.

Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea) bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba wa bandari.

Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.

Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.

Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).

Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.

Time will tell.
Hivi we jamaa ni mwananchi unayeishi Tanzania?

Uliwahi mara ya mwisho kuona ccm inashinda kwa Sanduku la Kura?

Au unajifanya ya 2020 hukuyaona?
 
Mnapenda sana kujipa matumaini hewa.

No wonder kila uchaguzi mnafanyiwa ujinga ujinga.
 
Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
Siyo kweli. Nimeenda mazingirà ya vijijini kabisa, tena kwa watu baadhi qenye uelewa mdogo sana, wanalijua suala la bandari. Tena wanasema kabisa kuwa huyu mama amedanganywa mpaka ameuza bandari na mbuga za wanyama.

Amenishangaza katibu wa CCM wa kata, ametumia maneno makali dhidi ya Rais, sioni kama ni busara kuyaweka hapa. Lakini ukweli ni kwamba, sijui kama kuna Mtanzania mwanakijiji asiyejua suala la bamdari, tena kwa mtazamo hasi kabisa.
 
Chadema mtagaragazwa vibaya sana CCM huwa haitanii kwenye uchaguzi. Msije kusema sijawaambia.
 
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025...
Huo ni mtazamo wako, 2025, ameshapita tunasubiri kumuapisha tu, earl date of november 2025.
 
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025...
Kwa wabunge sawa ila kwa Rais halitegemei wingi au udogo wa kura!! Ni mteuliwa wa Rais yaan mkurugenz wa tume ndie atatangaza mshind ni mgombea wa urais wa CCM hawez enda kinyume!! Thats why katiba mpya tume huru ndio msingi bora!
 
Back
Top Bottom