Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

CCM itashinda tena kwa kishindo
CCM ni dhaifu lakini wapinzani ni dhaifu zaidi
Wananunulika, wanaongeka, hawana msimamo,
Mpinzani wa kweli wa mafisadi na mtetezi wa kweli wa rasilimali za nchi ni Mwaabukusi
Yeye ndiye mwenye uwezo wa kupunguza kura za CCM na si hawa walamba asali.
 
Lumumba fc original
CCM itashinda tena kwa kishindo
CCM ni dhaifu lakini wapinzani ni dhaifu zaidi
Wananunulika, wanaongeka, hawana msimamo,
Mpinzani wa kweli wa mafisadi na mtetezi wa kweli wa rasilimali za nchi ni Mwaabukusi
Yeye ndiye mwenye uwezo wa kupunguza kura za CCM na si hawa walamba asali.
 
Kuna tatizo moja Chadema naliona mnalo kwa sasa-KATIBU MKUU WA CHAMA.

kilichoipa nguvu chadema 2015, ni kazi kubwa waliyoifanya 2010 hadi 2015. Hawakulala, mikutano mfululizo, operations zenye nguvu, hamasa kubwa.

Kwa sasa fursa ya Kufanya siasa ipo, lakini amsha haipo. Nadhani mnahitaji katibu mkuu ambaye ni mwanaharakati haswa. Mnyika hafai, mtaratibu sana. Apewe hata Heche hiyo nafasi.
 
Siyo kweli. Nimeenda mazingirà ya vijijini kabisa, tena kwa watu baadhi qenye uelewa mdogo sana, wanalijua suala la bandari. Tena wanasema kabisa kuwa huyu mama amedanganywa mpaka ameuza bandari na mbuga za wanyama.

Amenishangaza katibu wa CCM wa kata, ametumia maneno makali dhidi ya Rais, sioni kama ni busara kuyaweka hapa. Lakini ukweli ni kwamba, sijui kama kuna Mtanzania mwanakijiji asiyejua suala la bamdari, tena kwa mtazamo hasi kabisa.
Mkuu si utani nakwambia kweli reaction nayoiona huku JF kuhusu bandari nashangaa mtaani watu wa kawaida hawazungumzii kabisa mambo ya bandari.

Watu wanazungumzia habari za Simba na Yanga tu na labda TEC kidogo ilikuja kuinua awareness. Watu wengi wanazungumzia mtandaoni kwenye comment sections tu za page za kina Millard Ayo, Mange Kimambi, Mwananchi, Jamii forums, Maulidi Kitenge nk.
 
Kuna tatizo moja Chadema naliona mnalo kwa sasa-KATIBU MKUU WA CHAMA.

kilichoipa nguvu chadema 2015, ni kazi kubwa waliyoifanya 2010 hadi 2015. Hawakulala, mikutano mfululizo, operations zenye nguvu, hamasa kubwa. Kwa sasa fursa ya Kufanya siasa ipo, lakini amsha haipo. Nadhani mnahitaji katibu mkuu ambaye ni mwanaharakati haswa. Mnyika hafai, mtaratibu sana. Apewe hata Heche hiyo nafasi.
Kwa CCM hii ya Mama Samia, hata Katibu Mkuu wa CHADEMA akiwa bubu, CCM inakwenda na maji tatizo ni kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi.
 
Siasa ni timing, By december hii issue ya bandari itakua imeisha. So haitowasaidia chochote.
 
TAFADHALI MSIWE MNAWAZA 2025!

KUNA MUNGU,KUNA UHAI NA KUNA KUUGUA NA KUNA UZIMA!

MSIWE MNAWAZA HAYO ONGEZENI KUNAKO MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU!!
 
Ule uhayawani kwenye chaguzi zetu uko wazi wala sio wa kuhadithiwa. Wajinga ama wanaofaidika na chaguzi hizo za kishenzi ndio watakuwa na muda wa kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi.
Nenda kashtaki mahakamani
 
Ingekuwa Kenya au Tanzania nzima iwe kama Ubaruku ingewezekana
 
Kwa akili 'ya tope' sisi tulioko Jf sio wamitaani, tumetoka Mars.
Nyie ni portion/sample ndogo ya literate people katika jamii yenye mchanganyiko wa watu wa haiba tofauti tofauti ambao nyie mnaoweza kupembua mambo kwa kina.

👉Wengi wenu hata kura hampigi. Watu ninowazungumzia ni watu wa kawaida ambao wengine hawana vyama wanavyoshabikia wao wakiamka asubuhi wanawaza familia itakula nini watu ambao hata mitandaoni hawaingii na hawa ndio wapiga kura hawa hawazungumzii suala la bandari kabisa labda sasa hivi TEC walivyotia hekima.
 
Back
Top Bottom