Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

Hivi we jamaa ni mwananchi unayeishi Tanzania?

Uliwahi mara ya mwisho kuona ccm inashinda kwa Sanduku la Kura?


Au unajifanya ya 2020 hukuyaona?
 
Mnapenda sana kujipa matumaini hewa.

No wonder kila uchaguzi mnafanyiwa ujinga ujinga.
 
Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
Siyo kweli. Nimeenda mazingirà ya vijijini kabisa, tena kwa watu baadhi qenye uelewa mdogo sana, wanalijua suala la bandari. Tena wanasema kabisa kuwa huyu mama amedanganywa mpaka ameuza bandari na mbuga za wanyama.

Amenishangaza katibu wa CCM wa kata, ametumia maneno makali dhidi ya Rais, sioni kama ni busara kuyaweka hapa. Lakini ukweli ni kwamba, sijui kama kuna Mtanzania mwanakijiji asiyejua suala la bamdari, tena kwa mtazamo hasi kabisa.
 
Chadema mtagaragazwa vibaya sana CCM huwa haitanii kwenye uchaguzi. Msije kusema sijawaambia.
 
Huo ni mtazamo wako, 2025, ameshapita tunasubiri kumuapisha tu, earl date of november 2025.
 
Kwa wabunge sawa ila kwa Rais halitegemei wingi au udogo wa kura!! Ni mteuliwa wa Rais yaan mkurugenz wa tume ndie atatangaza mshind ni mgombea wa urais wa CCM hawez enda kinyume!! Thats why katiba mpya tume huru ndio msingi bora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…