Sahihi hata wabunge ushinda mpaka waachie wao.Kwa wabunge sawa ila kwa Rais halitegemei wingi au udogo wa kura!! Ni mteuliwa wa Rais yaan mkurugenz wa tume ndie atatangaza mshind ni mgombea wa urais wa CCM hawez enda kinyume!! Thats why katiba mpya tume huru ndio msingi bora!
CCM itashinda tena kwa kishindo
CCM ni dhaifu lakini wapinzani ni dhaifu zaidi
Wananunulika, wanaongeka, hawana msimamo,
Mpinzani wa kweli wa mafisadi na mtetezi wa kweli wa rasilimali za nchi ni Mwaabukusi
Yeye ndiye mwenye uwezo wa kupunguza kura za CCM na si hawa walamba asali.
Kbs ni vile hua wana balanceSahihi hata wabunge ushinda mpaka waachie wao.
Matapeli ni wale waliogawa bandari zetu kwa wageni.Tatizo wapinzani wa nchi hii hawana lolote ni matapeli tu
Mkuu si utani nakwambia kweli reaction nayoiona huku JF kuhusu bandari nashangaa mtaani watu wa kawaida hawazungumzii kabisa mambo ya bandari.Siyo kweli. Nimeenda mazingirà ya vijijini kabisa, tena kwa watu baadhi qenye uelewa mdogo sana, wanalijua suala la bandari. Tena wanasema kabisa kuwa huyu mama amedanganywa mpaka ameuza bandari na mbuga za wanyama.
Amenishangaza katibu wa CCM wa kata, ametumia maneno makali dhidi ya Rais, sioni kama ni busara kuyaweka hapa. Lakini ukweli ni kwamba, sijui kama kuna Mtanzania mwanakijiji asiyejua suala la bamdari, tena kwa mtazamo hasi kabisa.
Kwa CCM hii ya Mama Samia, hata Katibu Mkuu wa CHADEMA akiwa bubu, CCM inakwenda na maji tatizo ni kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi.Kuna tatizo moja Chadema naliona mnalo kwa sasa-KATIBU MKUU WA CHAMA.
kilichoipa nguvu chadema 2015, ni kazi kubwa waliyoifanya 2010 hadi 2015. Hawakulala, mikutano mfululizo, operations zenye nguvu, hamasa kubwa. Kwa sasa fursa ya Kufanya siasa ipo, lakini amsha haipo. Nadhani mnahitaji katibu mkuu ambaye ni mwanaharakati haswa. Mnyika hafai, mtaratibu sana. Apewe hata Heche hiyo nafasi.
Ndio zenu kuanza kujitetea kabla hata ya game haijaanza.Ni kweli kwa msaada wa tume na polisi
Ule uhayawani kwenye chaguzi zetu uko wazi wala sio wa kuhadithiwa. Wajinga ama wanaofaidika na chaguzi hizo za kishenzi ndio watakuwa na muda wa kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi.Ndio zenu kuanza kujitetea kabla hata ya game haijaanza.
Nenda kashtaki mahakamaniUle uhayawani kwenye chaguzi zetu uko wazi wala sio wa kuhadithiwa. Wajinga ama wanaofaidika na chaguzi hizo za kishenzi ndio watakuwa na muda wa kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi.
Kwa akili 'ya tope' sisi tulioko Jf sio wamitaani, tumetoka Mars.Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
Sawa mwibe tena na kuua watu kama 2020 tutamshtakia Mungu.Ndio zenu kuanza kujitetea kabla hata ya game haijaanza.
Umempa jibu la kibabe sanaKwa akili 'ya tope' sisi tulioko Jf sio wamitaani, tumetoka Mars.
Mahakama zipi, hizi hizi zilizo kwenye sehemu ya huu mfumo wa wizi? Labda mahakama za kimataifa ambako CCM na serikali yake huwa haishindi.Nenda kashtaki mahakamani
Nyie ni portion/sample ndogo ya literate people katika jamii yenye mchanganyiko wa watu wa haiba tofauti tofauti ambao nyie mnaoweza kupembua mambo kwa kina.Kwa akili 'ya tope' sisi tulioko Jf sio wamitaani, tumetoka Mars.