Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

ukienda haja kabla hujatawadha chungulia kwenye chasis utaoona [emoji23]
Mkuu nchi ipo hata baada ya JPM....

Nchi itakuwepo hata baada ya mh.Rais SSH....

Una "delusion" na "obsessive compulsive disorder"?!!!
 
tunasema hv dada faiza kamwambie uyo dada ako tulia na uyo mama ako waliokutuma kuwa wameikosea sana ii nchi pamoja na wa tz wote kasoro wewe na waambie uo mkataba hatuutaki.. Nakuhakikishia tuliisema sana tz kua n nchi ya aman ila katika hili itageuka uwanja wa vita, huku hao unaowatetea wameshapewa mapesa kwa kuruhusu dili ya kishenz ii kuwai kutokea huku wakiahdiwa maisha mazuri nchi za nje baad ya kumaliza utumishi wao
Ukilewa kakojoe na kalale...usitutishe hapa....huna ujualo na huna ufanyalo....andamana basi bwege gondongwa wewe
 
Vijana mna matatizo vichwani yaani nikatafute mimi wakati wajuzi wa haya mambo mpoo.

SI MTUJUZE KIZALENDO SASA KIUWAZI.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiingereza chenyewe hajui huyo......hana huo mkataba ,hajausoma na hawezi kuusoma....
 
Anamtisha Nani?

Hi nchi Hadi tunyooshane viungo na damu imwagike ndiyo hawa watu akili itawakaa sawa. Vinginevyo watazidi kutuona watz ni madungunduka tusiojielewa.
Hamia Rwanda mpuuzi ww
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiingereza chenyewe hajui huyo......hana huo mkataba ,hajausoma na hawezi kuusoma....
Mkataba upo Pdf alafu KATIKA WANA JF yeye ndio anao??

Mana ungekuwa wazii JF NI YA UWAZI🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Sana tena.
. Wewe ukimuamini usimuamini ndiye Spika wa bunge kwa sasa na ametowa ufafanuzi.

Mwenye wivu ajinyonge.
Je unayo habari kuwa kuna tangazo lililotolewa na bunge lakini baada ya mijadala ambayo Dr Tulia anaiita potofu ilibidi tangazo lile lifutwe?
 
Huo mkataba uko wapi?
1686219485286.png
1686219485286.png
 
Jambo moja ninaloshukuru. Huu mkataba umeleta mjadala wa kitaifa. Sasa wtz wanajitahidi kuelewa mambo na kuhoji.
 
Spika anasema wacheni kupotosha:



--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambapo amesema Bunge bado halijaridhia.

Spika Dr. Tulia amesema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari na mitandao kuwa azimio hilo limesharidhiwa na Bunhe si za kweli kwani azimio husika kwa sasa bado lipo katika ngazi ya kamati ya pamoja kwa mujibu wa kanuni na mara baada ya kamati kumaliza kazi yake azimio hilo limepangwa kuingia Bungeni tarehe 10 June 2023 kwa ajili ya mjadala.


Bunge ni Rubber Stamp ,wabunge washahongwa V8 kina msukuma unafikiri watasema nini?
 
Back
Top Bottom