mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mama mmeshinda hongera!Sana tena.
. Wewe ukimuamini usimuamini ndiye Spika wa bunge kwa sasa na ametowa ufafanuzi.
Mwenye wivu ajinyonge.
Bandari ya salama inarudi oman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mmeshinda hongera!Sana tena.
. Wewe ukimuamini usimuamini ndiye Spika wa bunge kwa sasa na ametowa ufafanuzi.
Mwenye wivu ajinyonge.
Uko wapi huo mkataba wewe mpotoshaji ?!!!
Mkuu nchi ipo hata baada ya JPM....ukienda haja kabla hujatawadha chungulia kwenye chasis utaoona [emoji23]
Tumejaa tele kama pishi la mchele 😁wapotoshaji wa JF
Umeona nimeandika mkataba au MOU? Kusaini MOU mwaka Jana kwenye Dubai expo imesemwa leo na DG wa TPAHuo mkataba uko wapi?
Mkuu nchi ipo hata baada ya JPM....
Nchi itakuwepo hata baada ya mh.Rais SSH....
Una "delusion" na "obsessive compulsive disorder"?!!!
Ukilewa kakojoe na kalale...usitutishe hapa....huna ujualo na huna ufanyalo....andamana basi bwege gondongwa wewetunasema hv dada faiza kamwambie uyo dada ako tulia na uyo mama ako waliokutuma kuwa wameikosea sana ii nchi pamoja na wa tz wote kasoro wewe na waambie uo mkataba hatuutaki.. Nakuhakikishia tuliisema sana tz kua n nchi ya aman ila katika hili itageuka uwanja wa vita, huku hao unaowatetea wameshapewa mapesa kwa kuruhusu dili ya kishenz ii kuwai kutokea huku wakiahdiwa maisha mazuri nchi za nje baad ya kumaliza utumishi wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiingereza chenyewe hajui huyo......hana huo mkataba ,hajausoma na hawezi kuusoma....Vijana mna matatizo vichwani yaani nikatafute mimi wakati wajuzi wa haya mambo mpoo.
SI MTUJUZE KIZALENDO SASA KIUWAZI.
Mbwa ni yule aliyekuzaa jinsia ya kikeMkataba uko wapi we mbwa?
Usipomuamini Tulia unataka tumuamini nani mwingine?!!!Kweli hata wewe ni wa kutoa kauli hiyo ??![emoji57]
Hamia Rwanda mpuuzi wwAnamtisha Nani?
Hi nchi Hadi tunyooshane viungo na damu imwagike ndiyo hawa watu akili itawakaa sawa. Vinginevyo watazidi kutuona watz ni madungunduka tusiojielewa.
Mkataba upo Pdf alafu KATIKA WANA JF yeye ndio anao??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiingereza chenyewe hajui huyo......hana huo mkataba ,hajausoma na hawezi kuusoma....
Je unayo habari kuwa kuna tangazo lililotolewa na bunge lakini baada ya mijadala ambayo Dr Tulia anaiita potofu ilibidi tangazo lile lifutwe?Sana tena.
. Wewe ukimuamini usimuamini ndiye Spika wa bunge kwa sasa na ametowa ufafanuzi.
Mwenye wivu ajinyonge.
Spika anasema wacheni kupotosha:
--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambapo amesema Bunge bado halijaridhia.
Spika Dr. Tulia amesema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari na mitandao kuwa azimio hilo limesharidhiwa na Bunhe si za kweli kwani azimio husika kwa sasa bado lipo katika ngazi ya kamati ya pamoja kwa mujibu wa kanuni na mara baada ya kamati kumaliza kazi yake azimio hilo limepangwa kuingia Bungeni tarehe 10 June 2023 kwa ajili ya mjadala.