Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.

Dada tulia uandike vizuri, mrembo usipige kelele tulia mama
 
we ndiyo umetishika, nani wa kumwaga damu? acheni stori za kitotot
 
Hujaona mabango kwa waziri mkuu Mtwara, wananchi wanataka DP World hata kule Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…