Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Kuhusu kusonga frontline nakuanzisha kile ulichokisema,hatuna watu wa caliber hiyo hapa,tunao wahamasishaji na washangiliaji yaani mashabiki,wachezaji hawapo,Kuna comment nilizosoma mahali fulani zikitokea Kenya jamaa walisema "watanzania ni waoga",jamaa walikuwa sahihi kwa asilimia fulani,Mimi binafsi nasema watanzania hatuna asili ya kupenda vurugu na machafuko tuna mind business ya kutafuta Hela ya kula,pango,na ada za watoto.
 
Kuna watu wanadhani ikizuka vita au machafuko basi watapewa wao nafasi ya kuongoza.

Kama ikitokea mkachukua uongozi kumbuka dhambi ileile mliyokuwa mbawafanyia waliopo sasa itawageukia.

Kumbuka pia madeni yote mtatakiwa kuyalipa na sisi wananchi tutahitaji ustawi zaidi ya uliokuwepo maana tutakuwa bado na kichinjio vinginevyo mtadumu msimu mmoja.

Muhimu mtutunze ili tusiwe vilema au maiti kwani hatutaweza kuwapigia kura.
 
Muhimu mtutunze ili tusiwe vilema au maiti kwani hatutaweza kuwapigia kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili wataka mabadiliko wamefanya kosa moja kubwa sana. Wamewagawa wataka mabadiliko wenzao.

Nasubiri siku ya maandamano ni lini ya slaa, maandamano ya chadema, halafu kuna wanamabadiliko wa naounga mkono mwarabu.

Hata akichukua bure hakuna mbaya. Kama wapinga mkataba wa bandari hawaoni mbaya kwa migodi ya madini. Maadam yuko mzungu
 
Mbona sasa ni kama unachanganya mada hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine walishasema watoto wao ni raia wa USA sasa tudanganyike kufuata upuuzi wao.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
Mmeanza kujitokeza mdogo mdogo
 
Waombeeni wale waliouza nchi na wenye mioyo migumu isiyotaka kubadilika kwa urahisi kuendana na wakati au mazingira ili wasikie maoni, ushauri na vilio vya wenzao wanaolilia haki zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…