Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Ingawa mjadala umeisha serkalini,lakini minong'ono ya watu ikiendelea,Taifa linakuwa katika hali ya taharuki.
Butiku alikuwa anasema juzi kwamba angependa kuona huu mjadala unakwisha.
Lakini mjadala unaonekana wakati mwingine kama vile unatuzidi kimo. Hakuna kitu cha maana anachoweza kusema mtu yoyote. Kila anayeongea watu nusu wanamzomea,nusu wanamshangilia.
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
Unakumbuka swala la rada?ndege ya rais,usiwaamini hao watu hata kidogo,historia yao inasema hivyo
 
Usifikrie kuwa hao wanao hoki ni WAZARENDO kama hilo neno lolivyo no
Hawajalambishwa chochote hiyo ni njaa tu
Inawasumbua wakiitwa nyumbani wapewe pilau hatuta wasikia tenaaaaaaa
Hizo ni hisia,na tukipata watu mia wenye mawazo kama yako ,hakika tumekwisha,,usiamini saana kuhusu pesa kuna kipindi pesa inakataa kufanya kazi,mbona magu aliwAkatalia
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
Kama Bwana Mungu aishivyo,utakufa wewe na familia yako.Iwe ni kwa ajali ama kwa njia yoyote.
Huwezi kutamani wapigania haki wauliwe ili wewe upate faida
 
Tuanze na wabunge majimboni. Tuwaambie waishie hukohuko walikopititisha ujinga wao. Hadi waelewe kuwa wamelikorogo. Wakaitishe bunge upya kurwkwbisha.

Tuanze sasa kuwapinga hawa wabunge mazezeta.

Kila mmoja na aseme sasa kwa sauti.
...Sasa Basi !...[emoji35]
 
Tatizo lipo hapo, inaonekana kuna makubaliano magumu sana waliingia hivyo hawawezi kurudi nyuma. Ingekua ni rahisi wangeshaachana nalo
.. Watazitema, au Nchi itawaka Moto hii !
Kwani Wengine Wallingiaje kwenye Vita ya Wenyewe Kwa Wenyewe ? Walipenda ?
SI Kwa Uzezeta Kama Huu ??[emoji35]
 
....Kwa hiyo Dawa ni 'Kuuza' Bandari ??? [emoji35]
Huna Hoja.
Uliishasikia Habari ya Yule Muuaji, Katili na Mwizi aitwaye Sauli ambaye baada ya Kuona Mwanga akabadilika kuwa Mtakatifu, Mtumie Paulo ?
 
WAHUNI WENYE DHAMIRA OVYO WAMEKAZANA KUWAPOTOSHA WATANZANIA ,SEREKALI IWE KALI KWA WAHUNI HAO,WASIJE KUTUSABABISHIA MATATIZO KATIKA TAIFA LETU.
 
Maana yangu ni kwamba. Ambavyo wameshapanga wao waliopo ktk mamlaka yatafanyika tu. Cc huk hata tupige kelele vip hakuna kitqchobadilika. Kwan mangap watu wanaongea na hakuna kinachotokea, sana sana tutaambiwa tukahamie Burundi.
...Kila Kitu kina Mwanzo wake. Mkataba Ovyo wa Bandari yetu wa Watanzania kuanza Vita ya Wenyewe Kwa Wenyewe !
Kwani Wengine Walipenda ? SI wakianza hivi hivi Kwa Watawala Kuamini Kwa Wananchi Wao ni WAJINGA TU ??
Subiri Uonn Yaliyotokea Rwanda yanahamia Tanganyika !!! [emoji35]
 
selikali ishasema itayafanyia kazi maoni ya watu. ila wanatokea watu wanaendelea kueneza chuki. mimi nasema watangulizwe tu. bora wachache wafe ili wengi wabaki salama ukizingatia wengine wanaochochea vurugu familia zao wana uraia wa marekani.
Wangekutanguliza wewe kwanza ili familia yako ione uzuri wake huu ndio ubinafsi wa ninyi Wageni Watanzania hawana roho ya kuzungumza kuwa waacha wafe hizi ni damu za Kirundi, Rwanda na DRC ndio mnaweza kuongea hivyo...
 
Waarabu kama watakuwa wamepata independent person wa kuwaambia nini watanganyika wanasema huku uraian, wanaeza achana kbs na hii biashara. Ama wao wenyewe wakaishinikiza serikali ikibali kufanya maboresho.
 
Amani tuliyonayo tunaitumia vibaya sana,imetulemaza kifikra na kimatendo.
Viongozi ndio wametufikisha hapa. Wamejisahau kwamba hii nchi ni ya demokrasia wengi ndio wapewe kipaumbele wao wanataka wapangie raia kila wanalotaka liwe tena kwa mabavu na vitisho. Huu sio uungwana maana raia nao wakiamua kukaza kinawakaa🤣🤣🤣 na ndio tutaibiwa vizuri sana maana USA lazma alete vikosi vya kulinda amani waje waibe dhahabu zetu kwa uhuru.

Yanaanzaga taratibu hivi hivi mwisho yanatufika ya Libya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…