Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Waarabu kama watakuwa wamepata independent person wa kuwaambia nini watanganyika wanasema huku uraian, wanaeza achana kbs na hii biashara. Ama wao wenyewe wakaishinikiza serikali ikibali kufanya maboresho.
Wamehakikishiwa huku wanaishi ng'ombe tu 🤣🤣🤣
 
na TICTS hawako happy vilevile walitaka kuishika bandari daima?
 
Muhimu mkataba wa kinyonyaji wa kutoa bandari zetu zote Tanganyika milele uvunjwe, hao wanaolalamika wana haki, wala hawavunji sheria yoyote, wasikilizwe wasitishwe.
ukiwa na hela unawekeza popote au mahali utakaporudisha fedha?
 
Waarabu kama watakuwa wamepata independent person wa kuwaambia nini watanganyika wanasema huku uraian, wanaeza achana kbs na hii biashara. Ama wao wenyewe wakaishinikiza serikali ikibali kufanya maboresho.
Waarabu ni wakatili hawana muda huo hata mkiweza kuuana mtakufa tuu ili mradi wao wapate wanachotaka tu ni kama kelele za Chura azimfukuzi Tembo kunywa maji Mkuu...
 
Vema damu imwagike lakini CCM iondoke madarakani, na bila kumwagika nchi hii haitakaa sawa.
 
Jirani kenya mnyukano upo na raia wameanza kutandikwa risasi, uganda ni kama kawa mnyukano, tanzania ilibaki salama muda mrefu, kama kutatokea viongozi washenzi wakatumiwa na wahuni kuvuruga nchi hili la dp world linaweza kusababisha machafuka kama halitaamuliwa kwa busara na hekima. Isifike huko kuanza kuandamana na risasi zikaanza kutumika kwenye maandamano
 
Labda Dar huku mikoani hata awajui bandari ipo mkoa gani
 
Taifa linaingizwa kubaya na MTU mmoja na kundi lake Kwa kushindwa kusimamia na kulinda Katiba na usalama Wa nchi.
Sijui nini kinasuburiwa kitokee ndipo wachukue hatua!!
Wanataka wananchi waandamane Kisha wawapige na Kutumia Nguvu dhidi ya wananchi wema Kwa ajili ya kuwalinda watu wao.
Kama tatizo ni watumishi Wa bandari kula rushwa na kuneemesha matumbo Yao Badala ya nchi!! Nani alitakiwa awawajibishe Kwa kuwafukuza KAZI ?
Kwa Nini Rais hatumii Nguvu yake kikatiba na kuwafukuza watumishi wote Wa Bandari hasa ya DSM na kuchunguza Mali zao Zote na kuzitaifisha popote zilipo Kisha aajiri watu WENYE uwezo na Uzalendo?

Mbona ni rahisi sana kudhibiti wizi popote Nchini! Tena wizi Wa kalamu ni mwepesi sana? Kufukuzwa KAZI na kupelekwa mahakamani na kuzuia Akaunti na Mali zao tu .

Kwa nini watanzania waingie kwenye taharuki kwa sababu ya kuwalinda waliofanya ufisadi Bandarini?
Kwa nini hatuoni matamko ya chama kuwawajiibisha waliotutia hasara huku wao WAKIWA mabilionea?

Rais achukue hatua Kwa walioshindwa kukusanya mapato ya bandari SIO kuwashughulikia wanaokosa!
 
Tatizo ya Chama tawala, viongozi wao na serikali yote nikimaanisha mawazi,wakuu WA mikoa, wakuu WA Wilaya taasisi zote wanatuona Sisi wananchi WA kawaida ni wakings kupindukia, ila wao ndio wanahakili. Nasikia Kigamboni yote mnataka kuifanya bandari , Sasa mjipange na mhamishe na matenki yote ya kuhifadhia Mafuta,la sivyo mtajuta kuzaliwa.
 
....Kwa hiyo Dawa ni 'Kuuza' Bandari ??? [emoji35]
Huna Hoja.
Uliishasikia Habari ya Yule Muuaji, Katili na Mwizi aitwaye Sauli ambaye baada ya Kuona Mwanga akabadilika kuwa Mtakatifu, Mtumie Paulo ?
Kwahiyo Tibaijuka na Chenge sasa hivi ni watakatifu?
 
Brother fungua PM kuna issue private nataka kuongea na wewe.
 
Fikra za kijinga hizo.

Hivi vijitu kama wewe mnaonadi damu ndiyo vya kudhibitiwa.
 
Kama Bwana Mungu aishivyo,utakufa wewe na familia yako.Iwe ni kwa ajali ama kwa njia yoyote.
Huwezi kutamani wapigania haki wauliwe ili wewe upate faida
Umesahau sakata la ndege ya rais mkapa?kashfa ya ya rada ,kashfa ya rada tuliyouziwa na uingereza bei yake hadi waziri wa nchi hiyohiyo inayouza rada alikuja juu kutumbia kuwa kunapigwa,lakini wapii tukaziba masikio, tena viongozi haohao waliokuwa madarakani wakaanza kumponda,na wapambe kama nyie mkawa mnafanya kama mnavyofanya sasa,yule waziri Claire short,akaona labda hatukumuelewa,akapanda ndege kuja huku kutuonya lakini waapi,watu walikuwa washatengeza ulaji,mwisho akaamua kujiuzuru alishindwa kuvumilia,,then baadae sana ndo kashfa na hela zilizopigwa likabumburuka,vipi bado una imani nao? Najua watarekebisha ila aacha lazima kwanza tuwaonyeshe kuwa watu wamebadirika na wanafuatilia,nahisi wamebaki na mtu kama wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…