Shekizongoro
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 388
- 153
Kuna kila sababu ya kumpima akili Werema katika hospitali ya Mirembe ili ikigundulika ni mgonjwa wa akili atibiwe aweze kuendelea na kazi yake iliyotukuka kwa kufuata maadili yanayokubalika! Na ikigundulika ana akili timamu afukuzwe kazi mara moja kulinda heshima ya ofisi ya AG!
Mkuu, tafadhali naomba ufafanuzi maana hii ni theory mpya kabisa kwangu!Ni mzima; ashalewa madaraka. Maslow hierarchy of need ashaimalza amekiza kutukana tu; kama si malezi mabovu
Mkuu, tafadhali naomba ufafanuzi maana hii ni theory mpya kabisa kwangu!
Mkuu unaweza kupita kuigoogle. Mh nadhan Mh AG kashaipita hata self actualization
Asante!
Ha ha ha ha nimecheka sana, mbona mwaka huu mkoa wa mara utatikisika. Wezi wote wametoka Mara na kanda ya Ziwa kunani?Yea, ninachoshangaa ni ujasiri wa mwizi kisa eti kwa kuwa anaambiwa na tumbiri basi anajifanya hajui chochote
Wazee wa kauli mbovu mbona ni wengi tu.
Msishangilie jamani. Namkumbuka Mtemi Mkwawa na uganga wake wa ajabu. Kugeuza risasi kuwa maji. Matokeo yake ni maji maji, mwishowe kunyongwa.
Tumbili, anajiamini saana tu, lakini, kaushauri kangu. Nimesikia fununu kuwa baba mwenye kaya anarudi na akija kabla hajaingia kule Magogoni, nasikia atii stop ya kwanza ni pale Mjengoni kwa ma/bi kinda. Unajua atasema nini???
Baba kaya hatabiriki. Kama orodha za wauza sembe/ngano anazo, anwani za wamaliza tusker anazo mpaka nyumba wanazo kaa. Hakuna chochote walicho fanyiwa. NASEMA; We Tumbili, huu ni upepo tu unavuma, nao haukai, utapita tu na shamba la bibi litatulia. Wavunaji wataendelea. Hakuna mtu aliyejua kuwa kuna pahala zimewekwa/zimelundikwa tena pesa nyingi namna hiyo baada ya EPA. Leo, sijui zingine zi wapi, zikilapuliwa, kelele za Tumbili tutazisahau na kukimbilia huko.