Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Kalasinga amecharuka.. Kafulila muda si mrefu atakuwa mjela jela original
Vipi ahadi yako ya kutembea uchi k/koo?Mbona haujaitekeleza?
Umekuwa kama CCM na ahadi zisizo tekelezeka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalasinga amecharuka.. Kafulila muda si mrefu atakuwa mjela jela original
Sijawahi kusikia BUNGE limeshtakiwa ila kwa mara ya kwanza nadhani duniani BUNGE letu linashtakiwa na MUWEKEZAJI aliyefilisi nchi/Taifa.
Ndiyo shida ya SERIKALI kuwekwa kwenye mifuko ya matakoni mwa wawekezaji.
mkuu hata mm bado najiuliza kama kweli kuna nafas ya mtu binafsi kulishkaki bunge. Hii ni kejeli ya hali ya juu na zaid sana analishkaki bunge na kuiamuru dola kutofanyia kazi mapendekezo ya mhimili mwingine. Na hili anataka mhimili mwingne wa 3 ndo utumike kuzitia bakora mihimili mingne. Yani huyu ni mdudu gani anaeitesa nchi kias hiki
Nyerere aliongea kwenye moja ya hotuba zake kuhusu SERIKALI kuwekwa mfukoni mwa wafanyabishara.Sasa huyu ni muwekezaji na ameiweka SERIKALI yote Mfukoni mwake,na sasa analiweka BUNGE letu pia kwenye mifuko yake.
Hapa ndipo wabunge wasimame kumuweka huyu Singasinga kwenye nafasi yake.Haiwezekani a mere muwekezaji kufanya chochote anachotaka sababu tu ya vijisenti alivyoiba na viongozi wetu.
IPTL kwend mahakamani ni jitihada za kuling'oa meno bunge na Sasa Rais Pia wasiweze kuligusa dubwana hilo. Mihimili yote linataka kuinyamazisha isifanye lolote kuhusu iptl
nyerere alikuwa dictator,dunia ishabadilika sasa,inabidi mzoee ,mtoto wa kiume kulialia haipendezi
Mahakama ndiyo sehemu pekee ya kupata haki safi sana PAP kutafuta haki yenu.
Kwanza mie siyo mtoto wa Kiume,ni Mwanamama ,mwenye akili timamu na siyo za kukamatiwa,ninayeipenda nchi yangu kwa kupitiliza na ninauwezo wa kumwambia yoyote ukweli bila kuwa na UWOGA.
Sidhani kama ni sahihi anachofanya huyo SINGASINGA,kwa kujiona bora zaidi na yuko juu ya serikali na sasa analiingilia bunge.Serikali imepwaya na sababu viongozi wetu ni wahusika wakuu wanajificha nyuma ya pazia ,wote kuanzia kwenye ile nyumba ya magogoni pamoja na wanaojiita wasomi mawaziri wote wamelifikisha TAIFA letu hapa.
Wahusika wote pamoja na huyu SIngasinga wanatkiwa kwa sasa wawe wanatumikia kifungo na pesa zetu wamerudisha.
Usikimbilie kuhukumu. Subiri maamuzi ya mahakama kuu
Tetty umezungumza ukweli ikulu ndipo wezi wanapofichama
Walai nakuambia IPTL kwenda mahakamani ni mpango mkakati wa JK na timu yake hilo liko wazi ili kutuzuga wakina pangupakavu
Amejiuzuru kwasababu muda wake wa kustaafu umeshafika.maamuzi yepi tena. muulize AG kwanini alijiuzuru jana.