Fisal still ni mchezaj wa Yanga mbona umeandika ngonjera nyingi zisizokua na maana ila swala la feisal inaonekana lina kuumaSalaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Hongera kwa nyie wanaharakati wa fei toto na sportpesa, haya sasa pambaneni na kwa sportpesa nao wapate haki yaoSalaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Sio kudanganya mashabiki acha ujinga, fesial alikua na mkataba na Yanga na still Yanga wanauhuru wa kuongeza (extend) mkataba nchi ina wajinga wengiWanachosema ili kuwadanganya mashabiki wao, na wanachotenda ni vitu viwili tofauti.
Time will tell.
Achaneni na mambo ya Yanga,..naona mnaumia sana na kupoteza muda!Wanaume gani Fei tu kawachuchumalisha[emoji1787][emoji1787]
Vipi wamekukasirisha sana[emoji3][emoji848]eti njombi umeudhika sanaSalaam..!!
Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya ajabu, baada ya TFF kudai Fei ni mchezaji wa Yanga Sc bila kusema amekiuka vipengele gani kwenye mkataba wake...
Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.
Kwasababu, huwezi kwa akili ya kawaida ukamuongezea mkataba mpya muajiriwa wako aliyevunja mkataba wa awali kinyume cha sheria, kitendo cha uto kumuongezea Fei mkataba kinaonesha mchezaji ndie alikuwa na haki, na bado ni tegemeo kwao, ndio maana Nabi kila siku alikuwa akihangaika kupiga simu za kubembeleza kwa mchezaji.
Mwisho nitoe wito kwa wanasheria wetu wa makaratasi hapa JF, haya mambo ya kisheria siku zote sio ya kukariri kama hesabu za darasani, eti kilichopo kwenye mkataba wako, lazima kiwepo kwenye mkataba wa mwenzio, huko ni kujidanganya, kisheria kila mkataba unaamuliwa na vipengele vilivyopo kwenye mkataba husika, sio nje ya hapo.View attachment 2518937
Tuzungumze kidogo Mkuu.Gongo wazi kanda mbili
Kazi yao kuvunja vipengele katika mikataba, ngoja ipo siku tuta washitaki MIGA
Hawataki kuvaa nembo sahihi ya mdhamini
Walianza kwa vodacom na sasa nbc, pamoja na mikataba sheria na kanuni za tff kuwa wazi
Nembo ya GSM ni red lakini wamebadil rangi
Mikataba ya wachezaji na makocha ni kisanga kuna muda mpaka CAS na Fifa wana ingilia kati
Yes, ni mchezaji wa Yanga baada ya kwenda Zanzibar kubembeleza na kumpa mkataba mpya mzito zaidi kama alivyotaka[emoji1756][emoji1756]Fisal still ni mchezaj wa Yanga mbona umeandika ngonjera nyingi zisizokua na maana ila swala la feisal inaonekana lina kuuma
Fei aligoma kuchezea utopolo, wacha uzwazwa wako, mpaka mmebembeleza kwa mkataba mpya.Sio kudanganya mashabiki acha ujinga, fesial alikua na mkataba na Yanga na still Yanga wanauhuru wa kuongeza (extend) mkataba nchi ina wajinga wengi
Huu uzi sio wa bil 20, tafuta kivuli utulie[emoji1787][emoji1787]Mkuu umekunywa chai kwanza? Asubuhi yote hii unaiwaza Yanga? Hivi kwanza ulishajua ilipo bil 20 ya udhamini wa Mo hapo Simba?
Yanga ilishatoa tamko Feitoto ni mchezaji wake na kama kuna timu inayomuitaji ije mezani, vipi tuna timu ilijitokeza? Hebu tuambie kama Feitoto angekuwa mchezaji huru ilishindikana vipi iyo timu inayomtaka ishindwe kujitangaza hadharani paka Leo?
Aya hebu leta huo ushahidi unaosema Yanga wamebembeleza na kumpigia magoti ili arudi, Halafu hata kama wamebembeleza sio kitu cha ajabu top players Dunia nzima huwa kuna special treatment ya kuwahandle refer Mbape hapo PSG n.k
Mwisho, Kurudi kwa Feitoto Yanga jua ni habari mbaya sana kwa Simba kwani Yale mashuti yataendelea kuwaumizaView attachment 2519005
Kama alivyokufa yanga kipindi kileNa ni vyema ungejikita kuhakikisha mechi inayokuja simba mtoboe maana tunaona kabisa mtakavyokufa vibaya
Hilo la kuangalia timu itashindaje ni la wachezaji, benchi la ufundi na uongozi sisi mashabiki hatuhusiki, yote kwa yote Fei kapata anachostahili sio kunyonywa, eti makambo ana mshahara mkubwa kuliko fei,Wamejikita kwenye umbea sasahivi badala ya kuangalia mechi inayokuja watafanyaje wasibakwe tena πππ simba sasahivi ni timu ya waganga njaaa
Anarudi tena jangwani ?...hakupata timu huko Uarabuni ?Sasa taarifa zilizopo rasmi ni kwamba, Fei Toto amesaini mkataba mpya na utopolo wenye thamani ya milioni 350 za kitanzaniaa ili kurejea jangwani, mpaka kufikia hapa, inaonesha wazi, Fei ndie alikuwa na haki kwenye lile sakata.