Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Heeee,mbona unahamisha mjadala mzee wa kazi,FEI kawashika Makalio,mwiko UMECHOMOLEWA,Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??
Mzenji yule ni NOMA aiseee,sikutegemea kama kumbe kwenye Mikataba Mu mambumbumbu kiasi hicho,angalieni na sportpesa wasije kuwafilisi tu mkataka kuandamana Bungeni kuwasemelea kwa MAMA,hamkawii nyie,Hahahaaaaaaaa
 
Nimemsikia wakili wa Feisal akipinga swala hili

Inavyoonekana hili jambo limeibuliwa upya kama propaganda tu
 
Mkuu umekunywa chai kwanza? Asubuhi yote hii unaiwaza Yanga? Hivi kwanza ulishajua ilipo bil 20 ya udhamini wa Mo hapo Simba...
Acheni longolongo toeni pesa, kazi kuwapunja wazawa tu, fei kawazindua wachezaji wazawa waanze kulipa kutokana na michango yao kwenye timu, eti fei mchezaji wenu haya mbona hachezi? Au majeruhi?
 
Kwani mchezaji hawezi kupewa mkataba mpya kabla ya wa awali kufika tamati? Kwa maamuzi ya tff,Fei ni mchezaji wa Yanga na hajavunja mkataba.
 
Huu ni uchambuzi wa akili kwenye kichwa na nafsi ya uchoyo,husuda na ufitinishi isiyofurahia mapatano wala mafanikio ya wengine.
Nani kakwambia FeiToto na Yanga walikuwa wanashindana kumpata MSHINDI Kati yao.
Wachambuzi wafitini kama huyu wanadidimiza maendeleo ya Taifa ktk michezo.
 
Kwahyo ile kauli No Fei No Problemaaa imesitishwa kwa sasa
No Fei No Ushindi
 
Kama alikua na haki si angeenda cas Kama alivyodai!!..kuboresha mkataba unaelewa ni kitu gani!?
 
H
Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zako
 
Hilo la kuangalia timu itashindaje ni la wachezaji, benchi la ufundi na uongozi sisi mashabiki hatuhusiki, yote kwa yote Fei kapata anachostahili sio kunyonywa, eti makambo ana mshahara mkubwa kuliko fei,
Makambo ana mshahara kuliko Fei[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…