Sakata la Fei Toto na Yanga SC, hatimaye ukweli wajulikana

Anaficha tu ila ukweli ndio uwo Fei mpaka muda huu yupo Avic town
 
Nyie kweli mbumbumbu, Mara zote Yanga wamesisitiza Fei ni mchezaji wao na kwamba arudi kambini. Na viongozi walisisitiza mazungumzo yalikuwa yanaendelea. Nyie endeleeni na kelele zenu ilab
 
@Tate Mkuu unaitwa huku mkuu
 
Unajua kujipa moyo, kila siku nakuona unavyojitahidi, eti haliwezi kuwa rahisi, kama vile unajua wanachofanya viongozi wako nyuma ya pazia[emoji1787][emoji1787]
Najipa moyo kwa lipi? Wakati uhalisia unajulikana
 
Wewe unajielewa, hongera sana.
 
Nyie kweli mbumbumbu, Mara zote Yanga wamesisitiza Fei ni mchezaji wao na kwamba arudi kambini. Na viongozi walisisitiza mazungumzo yalikuwa yanaendelea. Nyie endeleeni na kelele zenu ilab
Fei alikuwa zenji anakula upepo, kwanini mkamfuata huko kubembeleza kama mlikuwa na haki? naona hauna shukrani kwa TFF waliowabeba kwenye hii issue..

Kama Fei alikiuka makubaliano kimkataba kwanini hamkumpeleka kunako stahiki, ila mkaishia kwenda kwao kubembeleza?
 
Amekandamizwa na nani alikua halipwi? ni wapi Yanga walimpunja malipo yake?
 
Si mnampenda ngoja aje awagonge tena April hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…