Toa akili za funza..Peleka ushahidi wako mahala husika gazeti lifungiwe kama limeandika uongo, Fei kawavua nguo msilete makasiriko yenu.
Hawa Mbumbumbu waliletewa Manzoki kuhesabu kura unadhani wana akiliNilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed
Toa akili za funza..
Nadhani mleta mada ungepaswa kunukuu hii taarifa kutokana na source yako halafu ungetenganisha na maoni yako binafsi.
Hiyo inaonyesha, hiyo ina maana, mara sijui kwa msaada wa wanasiasa [emoji23][emoji23] sentensi kama hizi wapelekee wenzako kijiweni kwako. Mnalazimisha mambo kwa hisia zenu kwa kadri mihemuko inavyowasisimua.
Yanga itaua watu kwa presaure
Utopolo mna fani nyingi, mpaka kupiga ramli🫣🫣Yajayo Yanafurahisha Sana, April Watakula Kichapo Kutoka Kwa Yanga Na Huku CAF Watatolewa Group Stage, Kombe La FA La Azam Watalikosa Pia Na Ligi Kuu Anachukua Yanga Tena, Hawa Jamaa Wanaweza Kujinyeaa Round Hii [emoji23]
Makasiriko ya nini? Fei ndio mbaya sio mimi, kama hutaki kusoma nilichoandika kisa unaumia, basi soma habari ya gazeti liko hapo[emoji1787][emoji1787]Nadhani mleta mada ungepaswa kunukuu hii taarifa kutokana na source yako halafu ungetenganisha na maoni yako binafsi.
Hiyo inaonyesha, hiyo ina maana, mara sijui kwa msaada wa wanasiasa [emoji23][emoji23] sentensi kama hizi wapelekee wenzako kijiweni kwako. Mnalazimisha mambo kwa hisia zenu kwa kadri mihemuko inavyowasisimua.
Yanga itaua watu kwa presaure
Nyie wajinga sana, leo mnayaona magazeti mabaya kisa yameandika msichokipenda[emoji1787][emoji1787]Nilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed
Toa akili za funza..
Duh hii kali,kumbe huko Yanga mnachambia magazeti ndiyo maana mnaambiwa mna vinyesi kwenye chupi zenuNilipoona Mambo yapo w upazi nikajua Kuna reliable source umeiweka kumbe ni haya magazeti yanayochambiwa chooni?, Una uhakika gani na uliyoyasema? Je kama Fei kaomba Mambo yaishe aongeze mkataba?. Fei huyu si aliwaambia hataki kucheza Yanga? Huo mkataba ameongeza ili acheze Tp mazembe?. Puuzi wewe wahed
Toa akili za funza..
Sio makasiriko shida yenu mnalazimisha maoni binafsi yawe uhalisia. Kwa kuonesha kushindwa kabisa mnaanza kuingiza vihabari vya uongo ili kupata sympathy.Makasiriko ya nini? Fei ndio mbaya sio mimi, kama hutaki kusoma nilichoandika kisa unaumia, basi soma habari ya gazeti liko hapo[emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio tahira unayeilau Tff kwakutoa huku dhidi ya fei!! Punguza utahira...Nyie wajinga sana, leo mnayaona magazeti mabaya kisa yameandika msichokipenda[emoji1787][emoji1787]
Utopolo brain at work!.
Na siku akitokea uwanjani watamshangilia kama wehuYes, wanakwambia Fei ni nani bora aachwe, wakati kocha wao usiku halali anabembeleza tu..
Kwamba kubembelezwa peke yake na kocha ndiyo kunaweza kutatua shida zake? Kocha nikama mzazi Kwa wachezaji wakeAnadanganywa huku kila siku mnampa kocha vocha abembeleze mchezaji🫣
Ni mchezaji wa yangaNa siku akitokea uwanjani watamshangilia kama wehu
Pilipili usiyoila yakuwashia ni?Makasiriko hatupendi, mkajifunze kuheshimu mikataba ya kimbumbumbu mnayoingia na wachezaji wenu.
Haina noma mama kumbena! 👩💻Makasiriko hatupendi, mkajifunze kuheshimu mikataba ya kimbumbumbu mnayoingia na wachezaji wenu.
Utajijuuu!Hayo tuyaache, muhimu utopolo wamepiga magoti kwa Fei.
Ungeweka mahaba niue pembeni utumie akili usingekuja na majibu ya ajabu sampuli hii.Sio makasiriko shida yenu mnalazimisha maoni binafsi yawe uhalisia. Kwa kuonesha kushindwa kabisa mnaanza kuingiza vihabari vya uongo ili kupata sympathy.
Bro JF imeelimika jaribu ku organize sources zako ndio ulete habari inayoeleweka