Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Kwa nini mahululu ana kesi nyingi za viwanja? Hapa ndo panafanya nifikirie pengine waziri yuko sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Jamaa Kichomi kweli. Anaweza akaja kwako na hati akakwambia ni Eneo langu na akaandaa mashahidi anakushinda. Huyo ni tp. Mahakama haiwezi kuamulu au kuamua kila Kitu saizi Kuna Quas Judicial Kwenye kila Wizara.Ina semekana Johnson yuko selo ya polisi ostabey leo siku ya tano bila dhamana wala mawakili na ndugu zake kuruhusiwa kumuona.
Pia kuna tetesi za kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Ukimsiliza vizur huyu wakili utajua huyo jamaa ni tapeli kweli. Sasa watu wa aina hiyo unatakiwa uende nae kiumbwambwa hivyo hivyo. Haiwezekan kila kiwanja ukiomba umiliki unakataliwa na kwa akili za kawaida kila mtu anajua mahakama zetu ni kama alivyosema Rostam.Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana.
Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry Silaa kuvunja ghorofa lake, kumdhalilisha kumuita tapeli wakati hana hukumu ya mahakama iliyompata na hatia ya utapeli, na kumharibia jina na biashara zake.
Niliwahi kuonya humu kwamba wizara kubwa na nzito wasipewe watoto, hawa watoto waanzie wizara ya michezo, utamaduni na kwingine.
Nimefuatilia kule Mwanza, anatangatanga na Polisi kwemye mikutano, na wale ambao hawajaelewa maelezo yake, anatoa amri wakamatwe na Polisi. Kimsingi, analeta chaos kubwa sana.
Ameenda kuonana na RPC na kutoa amri (udikteta ambao samia hataki) kwamba Johnson Mahululu anyimwe dhamana, ana siku tano hajatoka.
Tunajua weekend iliyoisha ilibidi awahi kikao mahali akutane na bosi wake mkubwa., tunaipa angalizo serikali dhidi ya Jerry Silaa.
Kuhusu nyumba kuvunjwa, soma Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa
Pia soma Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Baadae serkali ikishindwa inalipa fidia na Jerry ataenda kuchukua mgao wakeJerry anatengeneza mazingira ya upigaji na rushwa......Huyi wakili ameweke kiporo kuhusu namba ya simu....Jerry aliomba namba ya mwenye ghorofa.
Jamaa wapo kupiga pesaNi kazi sana kuwa kiongozi Tanzania......ndio maana viongozi wanaamua tu kushughulikia matumbo yao tu.......
Ukiwa kiongozi Tanzania wewe iba chap chap uwe tajiri uendelee na maisha yako.........Jamaa wapo kupiga pesa
Ndiyo maana watu wapo busy na kumsifia maza waendelee kupiga pesa za wajingaUkiwa kiongozi Tanzania wewe iba chap chap uwe tajiri uendelee na maisha yako.........
Huo ndio ukweli.....nchi imeoza hii ukijifanya mzalendo na kuwapigania watanzania umekula hasara...... waTanzania wana nongwa na masimango mabaya sana.....wewe piga hela utengeneze maisha yako na kizazi chako......Ndiyo maana watu wapo busy na kumsifia maza waendelee kupiga pesa za wajinga
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Ni ubatili mtupu na uonevu. Tulisema haya mambo iachie Mahakama itoe haki. Jerry Slaa hawezi kutoa haki maana hana mamlaka ya kutoa haki. Anaweza aka-initiate process ya kupatika haki na si kutoa maamuzi kama vile yeye ni mahakama. Mfano kuvunja Ghorofa ya mtu bila amri ya Mahakama.
Sikiliza kisa cha kuhuzunisha cha ukiukwaji Mkubwa wa Haki uliofanywa na Jerry Slaa!
Verry unpleasant kwa mtu wa level ya kwake kufanya alichokifanya
View: https://youtu.be/xTWIKdgZxrQ
Sure hakuna mwenye nia njema na watanzaniaHuo ndio ukweli.....nchi imeoza hii ukijifanya mzalendo na kuwapigania watanzania umekula hasara...... waTanzania wana nongwa na masimango mabaya sana.....wewe piga hela utengeneze maisha yako na kizazi chako......
Kwa wale ambao ni wataalama wa lugha kwa ufupi ,siasa za upinzani haswa chadema is simply a disgrace to the nationHii sasa ni pattern of behaviour inayojitokeza. Watanzania wa twitter republic na wafuasi wa upinzani ni mahodari sana wa kukatisha tamaa viongozi hasa mawaziri wanaojaribu kurekebisha mambo. Same kwa wakuu wa wilaya na mikoa wanapojaribu kutatua migogoro.
Ilikuwa hivi hivi kwa Jaffo, Gwajima na sasa mnaanza kwa Slaa. Hata sijui mnataka nini, hakuna siku utaamka utakuta mambo yapo shwari tu lazima kuwe na watu wakupambana kuyaweka sawa.