Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha


Mchezo ushafanyika stuka wewe.
 
DG wa Bandari anapokea 18 million baada ya kodi?

Amandla...
 

Polisi tu wameiba nyama ya ng'ombe na kuchoma "MAKWASUKWASU" ndio waje kusema wamekamata 1.6 m $?
 
Malizieni muda wenu, dk ya 89 hii.
 
Huyo mkuu kamwaga petrol ktk kuzima moto kwa ufafanuzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…