1. Wataambiwa wapunguze sauti kipindi cha usiku na sio mchana maana usiku ndio muda watu hupumzika.
2. Kwa uelewa wangu mimi mdogo mara nyingi kiwanja kikichelewa kuendelezwa wakazi hujianzishia utaratibu wakujipitia na kujisahau ni kiwanja cha mtu, mara nyingi michoro hutumika kusuluhisha ili swala na kwamtazamo wangu hapo sio sawa kuwa na barabara ilogawanisha eneo la hati moja katika vipande viwili tena visivyo na uwiano
3. Ili sijaelewa kwamba mnauliza au mnadai,
4. Sio mbaya kwa watoto kujifunza elimu ya ndoa maana itakuja kuwasaidia mbeleni
5. Waliokashifiwa wakiona inafaa wapeleke madai yao katika chombo husika
Note; hapa naona kuna chuki tu sio kingine mchungaji anajikuta mjuaji na wenyeji mnataka mumuoneshe kuwa mnajua