Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Mbona waislamu wanapiga makelele na spika zao kila mahali katika nchi lakini hampigi kelele? Utakuwa na mapepo wewe.
Wewe acha ujinga hao ni wastaarabu sana wapiga adhana , wakimaliza wanazima spika zao wanaswali wenyewe ndani kwa ndani tofauti na walokole uchwara mnapigia watu kelele si msali wenyewe humo ndani au mungu wenu hasikii mpaka mpige muziki mkubwa sana kama wehu .
 
We king kisali na wenzio, mkakojoe mmnawe miguu mkalale, kesho shule laleni mapema
Boya jikite kwemye mada , Pimbi mkubwa jibu hoja ujasilia dini wenu hautawafikisha popote , nyinyi sio walokole ni wajasilia dini .
 
Inaonekaana kuna dini ambayo imehalalishwa kupiga kelele, si ndiyo?
Soma elewa , misikiti wanatoa adhana Kisha wanazima spika wanaendelea kuswali ndani kwa ndani tofauti na walokole uchwara a .k.a wajasilia dini ambao ambao wanapiga muziki mkubwa sana kama vichaa na kutoa mahubiri ya kipuuuzi, eti kuandaa mwanamke mbele ya watoto huku spika zikiwa wazi , watoto wanasikia , kwahiyo tukubali watoto wetu waharibike kisa wajasilia dini , Yesu anatajwa tu kama kizugio hilo ni kanisa la ibilisi . Soma 6:5 Mathayo maigizo ya Yesu Kristu uone .
 
Mashtaka mpaka lini kwa mtu mpuuzi kama huyo? Mzukieni muda mzuri arambe bakora za kutosha! Tia moto banda analoita ni kanisa, basi!
Yana mwisho mpaka siku damu itamwagika ndio serikali itaelewa , wananchi ni wavumilivu wanaenda kufikia mwisho muda si mrefu , na hivi mchungaji msaidizi kilema wa miguu aliyeshindwa kujiombea apone au aombewe na mchungaji wake apone sijui atakimbiaje ?
 
We king kisali na wenzio, mkakojoe mmnawe miguu mkalale, kesho shule laleni mapema
Umesoma mada ukaelewa kinacholalamikiwa au unakurupuka tu ? Jenga hoja jibu hoja kwanini kanisa lijengwe barabarani na kuziba barabara ? Tukipata wagonjwa tutawapitisha wapi? Kwanini kanisa lijengwe kwenye makazi ya watu ? Kama likijengwa huwa Lina masharti na taratibu zake mojawapo ni kupiga muziki au vyombo vya sauti kwa volume isiozidi 20 , pia kuna kibao huwekwa kuomba kubadilishwa matumizi ndani ya miezi mitatu , hayo yote hayajafuatwa sasa jibu hizi hoja , ujanjaujanja hautawasaida , mchungaji unaombea watu wapate hela wakati we mwenyewe hata baiskeli huna .
 
IMG_20210213_105518_3.jpg

IMG_20210213_111458_8.jpg
 
Mungu wao naona ni kiziwi na hasikii, sababu wanapiga mziki kuliko disco. Alafu wanaongea pumba tupu mahubiri yao ni hovyo tu.!!
 
Mtoa mada mbona sioni barabara iliyozibwa katika hiyo picha? hebu toa maelezo tuelewe vizuri
Labda picha haionyeshi vizuri , lakini barabara ipo inatoka Westland primary school upande wa kusini inakuja kuunga barabara inayoenda itetemia shule ya Msingi hilo kanisa ndio limeziba hapo unapoona , naweka attachment juu kwenye mada barua ya wakazi wa eneo husika na mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wa kata angalia wameini na kupitisha barua kuwa matatizo haya yapo , picha zinakuja zingine na ramani pia itawekwa hapa .
 
Sio wajinga ni wapumbavu kuliko upumbavu!!!
Wendawazimu kabisaaa kasoro kuvua nguo , unakuta eti mchungaji anawaombea waende wakapate kazi za umeneja na ukurugenzi , wanaombewa wenyewe wameishia darasa la saba halafu hayo maumini yanaamini na kushangilia ameni .
 
Mungu wao naona ni kiziwi na hasikii, sababu wanapiga mziki kuliko disco. Alafu wanaongea pumba tupu mahubiri yao ni hovyo tu.!!
Mahubiri ya kipumbafu kweli Biblia hawaijui kabisa , kazi kudanganya kuombea wanawake eti waolewe ? Kuombea waumini wapate kazi za umeneja wa makampuni wakati waumini wenyewe wameishia darasa la saba , eti yanafundisha jinsi ya kumuandaa mwanamke kabla ya tendo la ndoa huku spika zikiwa wazi watoto wanasikia , mala yaanze kunena kwa lugha za kiendawazimu zisizoeleweka , Kama ni kunena kwa lugha mbona kila siku maneno hayohayo huyo mungu wao hawambiagi maneno mengine .
 
1. Wataambiwa wapunguze sauti kipindi cha usiku na sio mchana maana usiku ndio muda watu hupumzika.

2. Kwa uelewa wangu mimi mdogo mara nyingi kiwanja kikichelewa kuendelezwa wakazi hujianzishia utaratibu wakujipitia na kujisahau ni kiwanja cha mtu, mara nyingi michoro hutumika kusuluhisha ili swala na kwamtazamo wangu hapo sio sawa kuwa na barabara ilogawanisha eneo la hati moja katika vipande viwili tena visivyo na uwiano

3. Ili sijaelewa kwamba mnauliza au mnadai,

4. Sio mbaya kwa watoto kujifunza elimu ya ndoa maana itakuja kuwasaidia mbeleni

5. Waliokashifiwa wakiona inafaa wapeleke madai yao katika chombo husika

Note; hapa naona kuna chuki tu sio kingine mchungaji anajikuta mjuaji na wenyeji mnataka mumuoneshe kuwa mnajua
 
Watoto chini ya miaka kumi na nane wajifunze mambo ya ndoa happy namba 4 , are serious ? Ni hivi wasipochukua hatua Moto utawaka , yaani hao wehu watuharibie watoto wetu tunaangalia hakuna kabisa . Namba1 Kama wataambiwa wapunguze sauti kipindi cha usiku sio mchana , hapa shuleni watoto watasomaje maana shule iko Kama mita Mia toka walipo .
 
Acha ujinga mtoa mada hakuna kanisa linaweza kupiga mziki 24 hrs tumia akili vizuri ,hao waumini ,wachungaji,wafanyakazi ,vyombo havipumziki ,tusichoshane tuna mambo mengi ya kujadili
Unasema ? Unasemewa Hawa mapimbi wanafungulia mziki halafu wanaacha kelele wanaenda kulala makwao , mbali na kata hii , halafu hawana kazi nyingine zaidi ya huu ujasilia dini uchwara sawa?
 
Back
Top Bottom